Na Azam aliye maliza nafasi ya pili Kafa goli 4 Cc ephen_tulitegemea kichapo kibaki tu kwenye timu zilizodhaminiwa na GSM, lakini hali sio hiyo, hata Kaizer Chiefs, Belouzidad, Simba, Mamelods pia kikombe wamekinywea. Imarisheni timu zenu
Tengeneza team mtani achana na maswala ya kujitoa ufahamu,Ni hii yanga ya kubebwa na waamuzi au nyingine?
Mechi 3 zote mlizofungwa na Yanga (8-2) walibebwa na waamuzi? Na wote waliokula goli5 Yanga ilibebwa na waamuzi??Ni hii yanga ya kubebwa na waamuzi au nyingine?
Watu wanaacha kujenga timu yao wanalalama na GSM kadhamini timu 6, nonsense!! Kwanini mo asidhamini zile timu 8 zilizobakia pia? Supersport wana timu na wanadhamini ligi ya Africa kusini. Yanga ilifungwa na Ihefu ikiwa story. Mtindio wa akili hawa.Tunatafuta chaka la kujificha ila kiuhalisia Yanga wanatuzidi vitu vingi.
Ubora wa wachezaji.
Uwazi
Uongozi na mengine
Ila bado naimani msimu huu kitaumana yaani ni jino kwa jino
Ni mjinga pekee ambae anashindwa kujua ubora wa Yanga kipindi hiki. Kuna watu wanaodhani kuwa GSM kudhamini timu 6 kwenye ligi ni vibaya, kutainufaisha Yanga.
Huku ni kupenda timu yako bila kupenda mpira wenyewe. Simba, Azam, KMC, Mashujaa, zimefungwa na Yanga ingawa hazina udhamini wa GSM, hii imekaaje?
Soma Pia: Mdhamini mkuu wa Yanga GSM kudhamini timu nyingine saba za ligi kuu siyo fair
Azam anayo timu pia, lakini anadhamini timu zote kwenye ligi, kwanini Azam fc haichukui ubingwa kila mwaka? wamefilisika waongeze usajili.
Hata Yanga kipindi wanajitafuta walikuwa kila siku malalamiko sijui ugomvi na Tff,T
Tengeneza team mtani achana na maswala ya kujitoa ufahamu,
Na wao wafike huko si walisema hilo ni shindano la ma loser tuwaone wao watafika wapiHata belouzidad na mamelods nao walipokea bahasha. Hawashangai Yanga kucheza final CAF confederation