Simba haina udhamini wa GSM lakini imefungwa na Yanga pia, hii ikoje?

True,
 
Haw
Tunachukulia poa kwa kuwa ni low minded,ila kiukweli haijakaa sawa,tajiri akiwa na ajenda zake tumekwisha,wanaohoji wapo sahihi regardless mahaba yetu yapo wapi
Hawako sahihi kabisa imarisheni timu zenu kwenye udhamini, uongozi na usajili. Hakuna timu inataka kucheza playoff au kushuka daraja, au kupata fedha za udhamini kulingana na nafasi kwenye ligi au kushiriki mashindano ya CAF eti kwa kukubali kufungwa makusudi na kipumbavu. Fly Emirates inadhamini timu ngapi ulaya? Hizo timu hazikutani kwenye mashindano?
 
Timu ambayo imemudu kumsajili na kumbakiza gamondi, azik Ki, Diara, job, Bacca, pacome, Yao, nzengeli, Chama, Aucho, dude, Baleke, Musonda, mzize, nk. Ni timu gani tz na Afrika haitaki kuwa na wachezaji kama hawa kikosini mwao?
 
Aliyewaita mbumbumbu mashabiki wa Simba aliwaza mbali sana.
 
Fly emirates anafadhili timu ngapi za ligi moja kwa mfano ulaya?
 
Ni hii yanga ya kubebwa na waamuzi au nyingine?
Huyo huyo unayesema anabebwa na waamuzi misimu 3 iliyopita kwenye rank za CAF alikua nafasi ya 78 kipindi hicho wew upo nafas ya 13 leo yupo nafas ya 13 wew upo nafasi ya 7 yaan kapanda kwa nafasi 65 na wewe umepanda kwa nafasi 6. Endelea kuimba kua anabebwa na marefa muda si mrefu atakuzid hata hizi ranks za CAF na hutakua cha kumzidi kwenye soka
 
Aliyewaita mbumbumbu mashabiki wa Simba aliwaza mbali sana.
Ukiiona image ya kisugu na gb 64 imeiona image ya wanasimba wote. Mwina kaduguda na Rage wanawajua sana wanasimba wenzake nje ndani, wamesema ni mbumbumbu.
 
Fly emirates anafadhili timu ngapi za ligi moja kwa mfano ulaya?
Hizo timu hazikutani UEFA/Euro?! Kwahiyo zikikutana huko zinapanga matokeo kwakuwa Zina mdhamini mmoja.
 
Angekuwa anabebwa na marefa asingepokwa goli lake dhidi ya mamelods.
 
mkuu, ukiongea kama shabiki uko sawa, ila kama mdau wa mpira wetu, kuna jambo halipo sawa!

GSM ni mdhamini wa Yanga, sio tu mdhamini bali ndiye anaunda safu ya uongozi ya Yanga........ viongozi wa Yanga ni wafanyakazi wa GSM, kwaio kwa namna moja au nyingine, GSM ndiye Yanga......

sasa, mtu kama huyu kudhamini timu zingine za ligi hiyo hiyo ambayo Yanga inashiriki ni kutengeneza mianya ya kupanga matokeo (kwa lugha rahisi kunakua na conflict of interest hapo, kati ya GSM kampuni, GSM uongozi wa Yanga, na GSM mdhamini wa vilabu vingine, of which viongozi wanaoratibu hayo ni hao hao kina Hersi), hii ni sawa na Fatma Dewji angekua kiongozi wa Simba, kisha METL iwe mdhamini wa dodoma jiji.....

hili ni tofauti na Azam tv, ambapo uongozi wa Azam tv ni tofuati na ule wa Azam FC, japo mmiliki ni mmoja, SSB,......

angalia hii picha kwa mfano
 
Hersi sio GSM, amechaguliwa na wanachama wa Yanga kwa kupigiwa kura, aliipata nafasi Ile sio kwa kuteuliwa na GSM, alishindana na wagombea wengine akashinda yeye. Hayo Yako ni hisia TU kwakuwa aliwahi kufanyakazi GSM. Hersi anawajibika kwa board ya Yanga sio kwa GSM. Sio mwiko mtoto wa Rais kuwa Rais au mfanyabiashara kuwa Rais ilimradi TU wafuate process zote za kuwa Rais kama wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…