Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu ....
But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa soka hapa jf... kuhusu hatima ya timu yangu ya SIMBA Kwa sababu naona haitokuja gusa zile top 3 since uimara wa Yanga ..... Azam...na Al hilal utaifanya Simba kuendelea kugombania top 4 na kina kmc ...coastal na ihefu
Nb: hii habari ya kuleta Al hilal....imekaza vibaya Kwa timu yangu ya Simba ...since huu utakuwa ni mwisho wa Simba kuwa top 3
Kama haitoki tz bara sioni likifanikiwaNimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu ....
But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa soka hapa jf... kuhusu hatima ya timu yangu ya SIMBA Kwa sababu naona haitokuja gusa zile top 3 since uimara wa Yanga ..... Azam...na Al hilal utaifanya Simba kuendelea kugombania top 4 na kina kmc ...coastal na ihefu
Nb: hii habari ya kuleta Al hilal....imekaza vibaya Kwa timu yangu ya Simba ...since huu utakuwa ni mwisho wa Simba kuwa top 3
Ndio hivyoHaa sure??
Hawa 🐸🐸wanacheza kwa kimbizana kama nyani wanaovizia kuiba mahindi shambani ndio imara 😂😂😂.since uimara wa Yanga
Mchambuzi bora huelewi kwamba wale point zao zitakuwa hazihesabiwi ,,,fanya kama unauchomoa ule mwiko ulichomekewa hapo nyuma ili akili ikurudiNimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu ....
But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa soka hapa jf... kuhusu hatima ya timu yangu ya SIMBA Kwa sababu naona haitokuja gusa zile top 3 since uimara wa Yanga ..... Azam...na Al hilal utaifanya Simba kuendelea kugombania top 4 na kina kmc ...coastal na ihefu
Nb: hii habari ya kuleta Al hilal....imekaza vibaya Kwa timu yangu ya Simba ...since huu utakuwa ni mwisho wa Simba kuwa top 3
Huyu ni miongoni mwa mashabiki w utopolo wanaothibitisha kauli ya Manara ni sahihi kuhusu wao
Ana akili kisoda huyu 🐸