Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Huu uzi ufutwe..🤣Game imeshaisha. Ngoma ya watoto haikeshi. Kagera si mnyonge na hawezi anza leo kuwa mnyonge.
Simba wakipata point moja washukuru sana. Wakachinje na ng'ombe. Kagera huwa kwao wanapocheza na mikia si team ya mzaha. Hawana urafiki kabisa na mikia. Tunashukuru huwa hawatuangushi.
Hivi hizi uzi mnaandikaga mkiwa chooni?Game imeshaisha. Ngoma ya watoto haikeshi. Kagera si mnyonge na hawezi anza leo kuwa mnyonge.
Simba wakipata point moja washukuru sana. Wakachinje na ng'ombe. Kagera huwa kwao wanapocheza na mikia si team ya mzaha. Hawana urafiki kabisa na mikia. Tunashukuru huwa hawatuangushi.
Hivi ulisema Simba wakipata hata point moja ufanyiwe nini?Simba wakipata point moja ...
Nipewe demu mkali nilale naye nisitumie kinga.Hivi ulisema Simba wakipata hata point moja ufanyiwe nini?
🤣🤣🤣Kama avatar yakoDaaaaaaaaaaah..... Si bure. Kuna mkono wa mtu aiseeee........
Game imeshaisha. Ngoma ya watoto haikeshi. Kagera si mnyonge na hawezi anza leo kuwa mnyonge.
Simba wakipata point moja washukuru sana. Wakachinje na ng'ombe. Kagera huwa kwao wanapocheza na mikia si team ya mzaha. Hawana urafiki kabisa na mikia. Tunashukuru huwa hawatuangushi.