Game imeshaisha. Ngoma ya watoto haikeshi. Kagera si mnyonge na hawezi anza leo kuwa mnyonge.
Simba wakipata point moja washukuru sana. Wakachinje na ng'ombe. Kagera huwa kwao wanapocheza na mikia si team ya mzaha. Hawana urafiki kabisa na mikia. Tunashukuru huwa hawatuangushi.