Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Hapa Leo sitaongelea ushabiki kabisa bali tutazungumza kuhusu mpira na mstakabali wa nchi yetu. Basi nieende kwenye point moja kwa moja nchi yetu ya Tanzania inawatu takribani milioni 60, na vijana wakiwa wengi kuliko wazee ambao vijana tunaonekana ndo watu ambao tunaweza kuikomboa nchi yetu katika mambo yanayoikumbuka sasa
Picha linaanza
Haohao vijana tunashindwa kufanya tafiti katika mambo madogomadogo tunakubali kudanganywa na watu wenye akili ndogo wanaojiita wachambuzi ambao wengi elimu zao ni certificate wachache wabahatika kufika angalau degree, swali, je tutaweza kupambana na hawa matapeli kwa hoja wanaolitafuna taifa letu watakavyo ambao wao ujiita wanasiasa ambao wengi elimu yao si haba na wachache ndo wale elimu zao ni zakuokoteza
Inashangaza kijana unashupaza sauti unakubali kusikiliza ngojera za wachambuzi wa simba na yanga ambao ni wachumia tumbo
Ukweli ni kwamba simba hajawahi kufika fainali wala nusu fainali ya caf champion league wala caf winner's bal alifika caf Cup na hakushiriki mwaarabu hata mmoja