Simba hamna cha kupoteza, Itakeni hii mechi na Wydad

Simba hamna cha kupoteza, Itakeni hii mechi na Wydad

Huyu anataka Mnyama akapasuke nyingi ukapishane na Wydad Moto Kwa Moto kwake wewe thubutu...
Hata hao Wydad kuna muda walicheza kwa nidhamu walirudisha jeshi nyuma hapo lupaso..

Nauliza kama kunatafauti ya uwanja.
Pitch si ni ile ile
 
Bila ya inshaAllah huwezi kutoboa kilaza weee!! Kesho ipo katika milki ya Mungu. Tunatanguliza inshaallah kisha tunaweka juhudi.

Hazijawah kusaidia hizo inshallah

acha mental slavery na ujinga

Fanya kazi kwa bidii mamluki
 
Back
Top Bottom