Megalodon JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,534 Reaction score 7,866 Apr 25, 2023 Thread starter #21 Caesar14 said: Huyu anataka Mnyama akapasuke nyingi ukapishane na Wydad Moto Kwa Moto kwake wewe thubutu... Hata hao Wydad kuna muda walicheza kwa nidhamu walirudisha jeshi nyuma hapo lupaso.. Click to expand... Nauliza kama kunatafauti ya uwanja. Pitch si ni ile ile
Caesar14 said: Huyu anataka Mnyama akapasuke nyingi ukapishane na Wydad Moto Kwa Moto kwake wewe thubutu... Hata hao Wydad kuna muda walicheza kwa nidhamu walirudisha jeshi nyuma hapo lupaso.. Click to expand... Nauliza kama kunatafauti ya uwanja. Pitch si ni ile ile
Megalodon JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,534 Reaction score 7,866 Apr 25, 2023 Thread starter #22 Mkono Mmoja said: Bila ya inshaAllah huwezi kutoboa kilaza weee!! Kesho ipo katika milki ya Mungu. Tunatanguliza inshaallah kisha tunaweka juhudi. Click to expand... Hazijawah kusaidia hizo inshallah acha mental slavery na ujinga Fanya kazi kwa bidii mamluki
Mkono Mmoja said: Bila ya inshaAllah huwezi kutoboa kilaza weee!! Kesho ipo katika milki ya Mungu. Tunatanguliza inshaallah kisha tunaweka juhudi. Click to expand... Hazijawah kusaidia hizo inshallah acha mental slavery na ujinga Fanya kazi kwa bidii mamluki
Megalodon JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,534 Reaction score 7,866 Apr 25, 2023 Thread starter #23 Mtanzanias said: Uwezo, uwezo, uwezo, uwezo, nafikiri umenielewa namaanisha nini! Click to expand... Wote ni magiant
Mtanzanias said: Uwezo, uwezo, uwezo, uwezo, nafikiri umenielewa namaanisha nini! Click to expand... Wote ni magiant