Asilimia zaidi ya 80 wanataka Mwarabu ashinde dhidi ya huyu mtu mweusi. Mnajidanganya mtamfunga Mwarabu Zanzibar. Thubutuuuuuuuuuuuuu.
Ndani yenu wenyewe ya Simba kuna watu wanatamani Mwarabu ashinde. Si kwa sababu ya Yanga. Ila ni sababu ni team ya mabwana. Na sisi ni Watwana. Ipo hivyo simple and clear.