Simba hao makundi kuvuna bilioni 1

Simba hao makundi kuvuna bilioni 1

[emoji856]
IMG-20221010-WA0044.jpg
 
Utomax taarifa iwafikie, Mnyama kaua uko 3-1. Anakuja kumaliza kazi kwa Mkapa na kuingia makundi CAF, billion 1 kibindoni.
Wanashingilia ushindi wa Namungo zama zile badala ya ule wa jana.

Nahisi mwiko unawatia kiwewe.
 
Simba Anakunja Chap Kibunda
Utopolo Inarudi Kichwa Chini Na Engineer Wa Mchongo
 
Back
Top Bottom