Simba hatarini kupokwa pointi tatu za FA

sio kupokwa point mkuu ni kwamba simba itatolewa kwe mashndano
Yanga ilipomchezesha Kessy kwenye michezo ya ligi kuu na mashindano ya CAF huku ikijua ni mali ya Simba ilitolewa kwenye mashindano au kushushwa daraja?
 
haya mambo mbona kwa wenzetu huko ulaya hatuyasikii hivi sisi tumelaaniwa na nani hivi viongozi wanashindwa kujua mchezaji fulani ana red kadi mpaka washabiki wawakumbushe
 
FA!!!! Kombe la shirikisho kuna point kumbe...... Nilikuwa sijui hilo Simba wana point ngapi labda!!!!
 
Yanga ilipomchezesha Kessy kwenye michezo ya ligi kuu na mashindano ya CAF huku ikijua ni mali ya Simba ilitolewa kwenye mashindano au kushushwa daraja?
Wakati akicheza alikuwa na mkataba?
 
Kwa namna soka letu linavoendeshwa usishangae sheria zkapindishwa
Wao ndiyo hujifanya wanajua sana sheria na kanuni. Cha ajabu, Kaburu ni kiongozi kwenye kamati ya mashindano. Watamkumbuka Rage, watake, wasitake. Hili Kombe lazima watolewe wanabanwa na kanuni.
 
Katika vitu vya ovyo kabisa ni hiki.Hivi simba si ilisajili upya wachezaji wake? Je kwenye ligi baada ya bingwa kupatikana waliopata red kwenye ligi,huadhibiwa kwa makosa ya ligi iliyopita? Kama ndio, Yanga ivuliwe ubingwa kwa kumchezesha Kessy ambaye alikuwa anatumikia adhabu ya simba.Tuwe wakweli kwanini figisu hutafutwa kila simba wanaposhinda?
 
Kessy alikuwa na adhabu gani?
 
Unahitaji msaada mkubwa sana

Ligi ikiisha rekodi za kadi zinatunzwa na zitaendelea msimu unaofuatia.Pogba alipata kadi akiwa Juventus lakini akaja kutumikia adhabu akiwa Manchester United
 
Kessy alikuwa na adhabu gani?
Hawezi kukujibu, ni mizuka ya ushabiki tu.
Sheria na kanuni vichukue mkondo wake. Hakuna namna nyingine. Kaburu ni kiongozi wa kamati ya mashindsno TFF. Hawakujua hilo?
 
H
Kama alijumuishwa kwenye kikosi cha akiba na akaka kwenye bench la Simba basi ni sawa kusema alicheza.
So kama sheria inasema ataukosa mchezo una fuatia basi Simba atapokwa pointi.
Kwenye FA hakuna points bali n mtoano...kama hii complain itakua right basi simba watakua watatolewa kwenye mashndano.
Hii ishawatokea real madrid kwenye kombe la mfalme msim ulopita.
 
Mliojifanya kunipinga mmeshaumbuka.
Tunazungumza fact ni kawaida kwa hii TFF ya Malinzi kutoa maamuzi kama hayo,hii sio mara ya kwanza au ya mwisho
 
Hawezi kukujibu, ni mizuka ya ushabiki tu.
Sheria na kanuni vichukue mkondo wake. Hakuna namna nyingine. Kaburu ni kiongozi wa kamati ya mashindsno TFF. Hawakujua hilo?
hivi yanga ilipigwa faini ya kulipa mil 50 ktk issue ya kessy unadhani ni kwa kosa gani?
 
Simba wamebebwa kwa kisingizio cha ada ya rufaa.
Ingefanyiwa yanga hivyo wamatopeni wangep8ga kelele kutoka mbuga na mapori yote nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…