grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Kama kwa Kessy zilivyopindishwaKwa namna soka letu linavoendeshwa usishangae sheria zkapindishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kwa Kessy zilivyopindishwaKwa namna soka letu linavoendeshwa usishangae sheria zkapindishwa
Yanga ilipomchezesha Kessy kwenye michezo ya ligi kuu na mashindano ya CAF huku ikijua ni mali ya Simba ilitolewa kwenye mashindano au kushushwa daraja?sio kupokwa point mkuu ni kwamba simba itatolewa kwe mashndano
Wakati akicheza alikuwa na mkataba?Yanga ilipomchezesha Kessy kwenye michezo ya ligi kuu na mashindano ya CAF huku ikijua ni mali ya Simba ilitolewa kwenye mashindano au kushushwa daraja?
Wao ndiyo hujifanya wanajua sana sheria na kanuni. Cha ajabu, Kaburu ni kiongozi kwenye kamati ya mashindano. Watamkumbuka Rage, watake, wasitake. Hili Kombe lazima watolewe wanabanwa na kanuni.Kwa namna soka letu linavoendeshwa usishangae sheria zkapindishwa
Kessy alikuwa na adhabu gani?Katika vitu vya ovyo kabisa ni hiki.Hivi simba si ilisajili upya wachezaji wake? Je kwenye ligi baada ya bingwa kupatikana waliopata red kwenye ligi,huadhibiwa kwa makosa ya ligi iliyopita? Kama ndio, Yanga ivuliwe ubingwa kwa kumchezesha Kessy ambaye alikuwa anatumikia adhabu ya simba.Tuwe wakweli kwanini figisu hutafutwa kila simba wanaposhinda?
Unahitaji msaada mkubwa sanaKatika vitu vya ovyo kabisa ni hiki.Hivi simba si ilisajili upya wachezaji wake? Je kwenye ligi baada ya bingwa kupatikana waliopata red kwenye ligi,huadhibiwa kwa makosa ya ligi iliyopita? Kama ndio, Yanga ivuliwe ubingwa kwa kumchezesha Kessy ambaye alikuwa anatumikia adhabu ya simba.Tuwe wakweli kwanini figisu hutafutwa kila simba wanaposhinda?
Hawezi kukujibu, ni mizuka ya ushabiki tu.Kessy alikuwa na adhabu gani?
Kwenye FA hakuna points bali n mtoano...kama hii complain itakua right basi simba watakua watatolewa kwenye mashndano.H
Kama alijumuishwa kwenye kikosi cha akiba na akaka kwenye bench la Simba basi ni sawa kusema alicheza.
So kama sheria inasema ataukosa mchezo una fuatia basi Simba atapokwa pointi.
Inategemea kanuni za mashindano zinaelekeza nini kwenye kadi za njano na kadi nyekuduKama hakucheza sidhani kama simba watahukumiwa
hapanaYanga ilipomchezesha Kessy kwenye michezo ya ligi kuu na mashindano ya CAF huku ikijua ni mali ya Simba ilitolewa kwenye mashindano au kushushwa daraja?
Tunazungumza fact ni kawaida kwa hii TFF ya Malinzi kutoa maamuzi kama hayo,hii sio mara ya kwanza au ya mwishoMliojifanya kunipinga mmeshaumbuka.
hivi yanga ilipigwa faini ya kulipa mil 50 ktk issue ya kessy unadhani ni kwa kosa gani?Hawezi kukujibu, ni mizuka ya ushabiki tu.
Sheria na kanuni vichukue mkondo wake. Hakuna namna nyingine. Kaburu ni kiongozi wa kamati ya mashindsno TFF. Hawakujua hilo?
Uwe chilumendo au chikashana, issue hii ya kumchezesha mwenye kadi nyekundu na suala la Kessy havina uhusiano!hivi yanga ilipigwa faini ya kulipa mil 50 ktk issue ya kessy unadhani ni kwa kosa gani?