Simba hatuna chetu msimu huu!

Simba hatuna chetu msimu huu!

Kwa ufupi huu sio nimeita utabiri kutokana na dhana ilivyo kwa sasa ,hasa kipindi hiki cha betting
IKO HIVI:
1. Yanga anaenda kuwa BINGWA WA NGAO YA JAMII PALE MKWAKWANI TANGA, nina uhakika asilimia 100, wanasimba wenzangu hata msipoteze muda , kivyovyote itakavyokuwa YANGA BINGWA.

1. Msimu jana reference ya ubovu wa kikosi simba ilikuwa ni SAWADOGO, msimu huu reference ya ubovu wa simba itakuwa kwa mchezaji fulani alisajiliwa kwa mbwembwe sana , leo atapoteana kila mwanasimba hatakuwa tayari hata kumuona tena uwanjani

2. Utakuwa mwanzo wa kukosa makombe yote ya ndani.
Vipi hapo, bado unabii unasimama? Wengine muwe mnakaa kimya tu, mikoba ya uchawi mliyorithishwa inawasumbua
 
Back
Top Bottom