"Simba hatuna kocha" asema Mayor mstaafu Boniface Jacob

"Simba hatuna kocha" asema Mayor mstaafu Boniface Jacob

SIMBA HATUNA KOCHA

Ameandika mwanachama wa Simba SC na Mayor mstaafu Boniface Jacob ✍️

"1. Simba hatuna kocha ...

2. Tunasajili halafu tunaogopa kutumia wachezaji wazuri tunaweka walewale tukitegemea matokeo mapya ..

3. Mtani alituzidi kimbinu na kiuwezo ndani ya uwanja.

4. Yanga haijabomoka kama tulivyotegemea (Labda kama walikamia).

5. BAHATI NI YETU"

My take:
Football sio politics..majina hayachezi,wanatakiwa kuingia kwenye mfumo,tena with right timing...nafkr tuwape muda hawa wachezaji wapya.



View attachment 2717288
Kasema ukweli tena kajizuia ukali wa maneno.
 
Back
Top Bottom