redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Kwa mujibu wa baadhi ya mashabiki wa Simba wamelalamikia Penalty wanayo dai kunyimwa dakika za majeruhi katika mechi ya 8/8 /2024.
Ukiangalia kupitia marudio ya television Ule mpira wa kross uliopigwa kuelekea langoni mwa Yanga dakika za majeruhi na kusababisha baadhi ya mashabiki wa Simba kudhani walinyimwa Penalty, Ulianza kuchezwa na Freddy Michael Koblan kwa kichwa uku akiwa ametumia mikono kupanda kwenye Mabega ya Ibrahim Bacca ambaye ni Beki wa Yanga ili ku kuufikia na ku ucheza kwa Kichwa.
Mpira huo ukamfikia Kelvin Kijiri ambaye baadhi ya mashabiki wanataka refa ange wazawadia Simba penalty kwakua Ibrahim Bacca alimchezea faul Kijiri.
Katika Hali ya kawaida ilitakiwa refa apulize filimbi ya faul na kuelekeza mpira ulekee Goli la Simba baada ya Freddy kumfanya Ibrahim Bacca Ngazi ili aucheze mpira wa kichwa ulio zua utata wa Penalty tata.
Pia soma:FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024