Simba hawapaswi kushangilia pesa za Sammata zaidi ya African Lyon

Hiyo inaitwa transfer clause. Wakati wa uhamisho huwa zinawekwa hasa timu zinazojiendesha kibiashara. Kuna asilimia zitakazoenda kwenye timu zilizohusika katika maendeleo ya mchezaji. Sasa kama timu haikufanya kisheria na kusisitiza kupata chochote kama mchezaji atauzwa. Ndio maana academy za ulaya zinatoa wachezaji wengi lakini wanatumia wachache kwenye timu zao. Hao wengine waliobaki watakuwa wakila mrabaha tu kwa kila wanapokwenda. Mchezaji huigharimu academy pesa nyingi mpaka anapotoka ndio maana wanaweka clause ya kupata chochote endapo atauzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu soma post number 20 kwenye huu uzi.
👇
 
Ulitaka Yanga ndio wapewe? Acha roho ya korosho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba wanazijua sheria za mpira kuliko wewe kwani Samata wao ndio walimuuza Tp Mazembe wakapata fungu,Tp Mazembe ilipomuuza Genk Simba walipata Mgao kwa hiyo Simba wanaujua utaratibu labda uwafundishe Yanga. Mgao ni Asilimia 5% kwa Tp Mazembe,Simba na African Lyon hofu yako nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…