Simba hawapaswi kushangilia pesa za Sammata zaidi ya African Lyon

Hiyo inaitwa transfer clause. Wakati wa uhamisho huwa zinawekwa hasa timu zinazojiendesha kibiashara. Kuna asilimia zitakazoenda kwenye timu zilizohusika katika maendeleo ya mchezaji. Sasa kama timu haikufanya kisheria na kusisitiza kupata chochote kama mchezaji atauzwa. Ndio maana academy za ulaya zinatoa wachezaji wengi lakini wanatumia wachache kwenye timu zao. Hao wengine waliobaki watakuwa wakila mrabaha tu kwa kila wanapokwenda. Mchezaji huigharimu academy pesa nyingi mpaka anapotoka ndio maana wanaweka clause ya kupata chochote endapo atauzwa.
Hahaha dah mkuu hebu naomba niwekee hapa kifungu hicho cha sheria kinachotaka kila mchezaji akihama team zote alizochezea zipewe mgawo. Au nipe hata link mahali hiyo sheria ilipo nikaongeze maarifa ya soka.

Nachoweza kukuambia ukileta hicho kifungu cha sheria hapa basi leo leo naacha kushabikia soka. Dah mda mwingine chuki inafanya akili za watu zinakuwa full of shonde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo inaitwa transfer clause. Wakati wa uhamisho huwa zinawekwa hasa timu zinazojiendesha kibiashara. Kuna asilimia zitakazoenda kwenye timu zilizohusika katika maendeleo ya mchezaji. Sasa kama timu haikufanya kisheria na kusisitiza kupata chochote kama mchezaji atauzwa. Ndio maana academy za ulaya zinatoa wachezaji wengi lakini wanatumia wachache kwenye timu zao. Hao wengine waliobaki watakuwa wakila mrabaha tu kwa kila wanapokwenda. Mchezaji huigharimu academy pesa nyingi mpaka anapotoka ndio maana wanaweka clause ya kupata chochote endapo atauzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu soma post number 20 kwenye huu uzi.
👇
 
Sheria za FIFA zinaainisha mchezaji akihama kutoka timu moja kwenda nyingine kila timu aliyocheza itapata mgao wao kutoka kwenye pesa za usajili.

Kama tunavyojua Samatta kabla ya kwenda Simba alikipiga African Lyon. Ila kwenye kila tranfer ya huyu bwana from Simba to Mazembe na kutoka Mazembe kwenda Genk simba ndio wamekua kiherehere kupata mgao huku African lyon wakikosa hata mia.

Nasemaje simba ni waroho..haters watasema mimi shabiki wa yanga.

View attachment 1326382

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka Yanga ndio wapewe? Acha roho ya korosho

Simba wanazijua sheria za mpira kuliko wewe kwani Samata wao ndio walimuuza Tp Mazembe wakapata fungu,Tp Mazembe ilipomuuza Genk Simba walipata Mgao kwa hiyo Simba wanaujua utaratibu labda uwafundishe Yanga. Mgao ni Asilimia 5% kwa Tp Mazembe,Simba na African Lyon hofu yako nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom