bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Wakianza kuchomonoa swala la kanuni TFF wataingia kwenye mtego kuruhusu coastal union kutumia mchezaji ambae ni batili kulingana na kanuni maana yake ni kwamba Coastal union wanatakiwa kukatwa points alizocheza huyo mchezaji, chain ni ndefuSidhani Kama wakati wanafanya majadiliano wakigundua hiyo loophole.
Labda kwa sababu timu nyingi zilikuwa zinamwania huyo mchezaji.