Simba hawastahili kuwalipa coastal hata senti tano

Sidhani Kama wakati wanafanya majadiliano wakigundua hiyo loophole.
Labda kwa sababu timu nyingi zilikuwa zinamwania huyo mchezaji.
Wakianza kuchomonoa swala la kanuni TFF wataingia kwenye mtego kuruhusu coastal union kutumia mchezaji ambae ni batili kulingana na kanuni maana yake ni kwamba Coastal union wanatakiwa kukatwa points alizocheza huyo mchezaji, chain ni ndefu
 
how comes kasajiriwa? tff portal na fifa portal?? hili swala hata ukienda wapi, at the end ni mchezaji mwenyewe
 
Wakianza kuchomonoa swala la kanuni TFF wataingia kwenye mtego kuruhusu coastal union kutumia mchezaji ambae ni batili kulingana na kanuni maana yake ni kwamba Coastal union wanatakiwa kukatwa points alizocheza huyo mchezaji, chain ni ndefu
siku hizi kuna portal ya wachezaji wote kusajiliwa online. issue coastal watakuwa awana makosa mikataba imepitishwa tff.
 
Siyo coastal hata Singida black star walikiuka kanuni wanatakiwa washushwe na kamati husika ivunjwe.
 
siku hizi kuna portal ya wachezaji wote kusajiliwa online. issue coastal watakuwa awana makosa mikataba imepitishwa tff.
Unakumbuka issue ya Bukungu mpaka Simba wakapewa ushindi kwani hakuputishwa na caf na Chama cha mpira kongo.
Ndio maana Kuna cas na fifa hivyo vyombo vipi ili kuhakikisha Sheria zilizopo zimefatwa.
 
Coastal siwaelewi sijui wana bifu gani na Simba.

Hata kipindi tunamchukua Mgunda wali react hivi hivi kuwa wao bado wanamtambua Mgunda kama kocha wao.

Na kuna mchezaji mwingine pia kabla naye aliwahi kuletewa zengwe hivi hivi.
Hassani banda
Abdi banda
Razak yusuph
Mohamedi Mwameja
Victor Akpan
Bifu gani wote wamesajiliwa toka coastal waache janja!
 
Hapo kanuni zitaamua maana mkataba ulikuwa batili
Hakuna kanuni itakayoamua hapo. Kwa sababu mchezaji ni wa Costal Union. Na ana mkataba na Coastal Union.

Mimi nawashauri mfuate utaratibu sahihi. Acheni ujanja ujanja wenu kama ule mlioufanya kwa Bernard Morrison kipindi kile.
 
Uzuri nyinyi mmesibitishwa na viongozi wenu(Rage na Kadunguda) waliowahi shika nyadhifa za juu kabisa kuwa wengi wenu ni mbumbumbuu!!
Nyie maneno na matendo yenu yanathibitisha kuwa ni wapumbavu kabisa.
 
Coastal siwaelewi sijui wana bifu gani na Simba.

Hata kipindi tunamchukua Mgunda wali react hivi hivi kuwa wao bado wanamtambua Mgunda kama kocha wao.

Na kuna mchezaji mwingine pia kabla naye aliwahi kuletewa zengwe hivi hivi.
Haujui simba inapigwa vita na yanga wakisaidiwa na huyo injinia wa mchongo..nina hakika wao ndio wanawaambia timu hizo wakurupuke kwenye vyombo vya habari wateme porojo..ili tu simba isifanikiwe kusajili wachezaji. Huyo fara naskia aliapa kabisa kutaka kutokomeza ufalme wa simba anataka ishuke daraja kabisa hio ndio chuki kali sana ya huyo fara.
 
Hakuna kanuni itakayoamua hapo. Kwa sababu mchezaji ni wa Costal Union. Na ana mkataba na Coastal Union.

Mimi nawashauri mfuate utaratibu sahihi. Acheni ujanja ujanja wenu kama ule mlioufanya kwa Bernard Morrison kipindi kile.
Mkuu nimeweka na kanuni za TFF hayo sio maneno yangu.
Kama kanuni za mkataba zimekiukwa mkataba ni null an void, wanasheria wasioweka ushabiki mbele watafafanua zaidi.
 
Sawa umefanya vema, ambatanisha na Mkataba wa Coastal union na Lameck Lawi ili Mada inoge kabisa na itapendeza pia kupata udhibitisho wa umri wa Lawi
 
Sawa umefanya vema, ambatanisha na Mkataba wa Coastal union na Lameck Lawi ili Mada inoge kabisa
Mkataba wa coastal na lawi Sina maana access hiyo Sina Ila kwa taarifa zao walikuwa na mkataba wa miaka 4 ambao unaisha 2025.
Umri wa Lameki Lawi wa passport unajulikana.
 
Mkataba wa coastal na lawi Sina maana access hiyo Sina Ila kwa taarifa zao walikuwa na mkataba wa miaka 4 ambao unaisha 2025.
Umri wa Lameki Lawi wa passport unajulikana.
Sawa hii mada inakosa uwalali wa kuujadili kwa matokeo chanya, inawezekana alipewa mkataba wa miaka mitatu, wakamuongezea mmoja, au alipewa wa miaka 2 akaongeza 2
 
Sawa hii mada inakosa uwalali wa kuujadili kwa matokeo chanya, inawezekana alipewa mkataba wa miaka mitatu, wakamuongezea mmoja, au alipewa wa miaka 2 akaongeza 2.
Kama ulifatilia maelezo ya Coastal toka mwanzo utaelewa Nini unajadili.
 
Hujui hata unachojadili.

Rudia kusoma tena post halafu utajua kwamba ww ni zuzu
Mbumbumbuu lingine hili!

Tatizo Simba viongozi wapigaji, mashabiki mbumbumbuu!

Mmeshindwa kutoa hela kwa wakati mnaleta janjajanja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…