Simba hebu Njooni mjibu haya Maswali

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na usinchoshe,tusichoshane!.

Maswali yanayohitaji majibu kutoka Kwenu Makolo a.k.a Madunduka.

1. Je, kwa Mkapa anatoka Mtu au hatoki mtu?

2. Je,Robetinho anafaa au hafai?

3. Je, Sawa Dogo apewe nafasi au afungashe virago?

4.Je, jezi zilizokwama Ethiopia zije au ziishie huko huko?

5.Je, kurudi na bus kinyume nyume ndiyo chanzo cha kipigo au mlizidiwa?

Poleni kwa kuikosa pesa ya ahadi kutoka Kwa Mh.Rais.

Kuimba kupokezana,leo ni zamu ya Utopolo a.k.a Vyura.

Ni hayo tu.
 
1: Kwa Simba hii, kwa Mkapa Wanaoujua mpira watatoka sana.....

2: Kwa Yale magarasa tuliyonayo (SIMBA TUNA WACHEZAJI KAM WATANO TU), hata ungemleta Klopp na Guardiola wasaidiane na Mourinho na Ancelloti, hakuna kitu watadeliver.....so Robertinhob ANAFAA.

3: Ni Mpumbavu pekee anaweza kumuacha Thadeo Lwanga na kumleta sawadogo(mtu hata akiwa na mpira ni tatizo)...
HAFAI.

4: Jezi zipotelee hukohuko Ethiopia.....

5: Ushirikina hauna nafasi kwenye mpira wa miguu....

Swali lingine tafadhali....
 
Simba ni club kubwa hilo halina ubishi...hata mtukejeli vipi huo ndo ukweli...matokeo ya mpira haya ni nani hajawai kupigwa??
-Robertinho haondoki
-Gari kurudi kinyume nyume ni mbwembwe kama mbwembwe zingine acheni kuamini kila kitu ni ushirikina.
-Jezi zije tuu mimi ninataka pea kumi
-Mkimrudisha kisinda kwao na Sawadogo nae atarudi
 
Hakuna club kubwa inapigwa bao tatu home
 
Kwa kasi ile ya Jana sababu nyingine tofauti na ufundi ni umri wa wachezaji , ukiwaangalia raja hakuna aliyezidi 25 au 26
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…