Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Kweli kabisaSimba ni club kubwa hilo halina ubishi...hata mtukejeli vipi huo ndo ukweli...matokeo ya mpira haya ni nani hajawai kupigwa??
-Robertinho haondoki
-Gari kurudi kinyume nyume ni mbwembwe kama mbwembwe zingine acheni kuamini kila kitu ni ushirikina.
-Jezi zije tuu mimi ninataka pea kumi
-Mkimrudisha kisinda kwao na Sawadogo nae atarudi