Simba hii aibu mnayoendelea kutupa tumeshindwa kuivumilia

Wewe sio simba mkuu,sisi wenyewe mbona tunavumilia na tena jezi tumetinga
 
Ni Bora tusiwe na timu yoyote ya kutuwakilisha. Tujitoe kwenye mashindano yote. Kwa huhu uwakilishi bola tusiwe na timu. Simba you let us down. Mnakosea, mjitume zaidi.
 
Inashangaza sana simba wanawachezaji Saba wanaotoka nje waliocheza mechi ya jana najiuliza hv kuna haja ya kuwa na wachezaji wa aina hii poleni sana watani zetu bila shaka mmevunja record kama mechi mbili Magoli 10 hili si janga la Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…