MAXY MUSAY
JF-Expert Member
- Aug 2, 2017
- 480
- 201
Najipa likizo rasmi kuifatilia Simba Sc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampigwe tu!Tutapigwa si chini ya nane
Unataka niandikaje ili ujue Mimi Simba au niseme tuna kikosi kipana?Wewe sio simba mkuu,sisi wenyewe mbona tunavumilia na tena jezi tumetinga
hahahahaha Leo nimeona mtu anabakwa hadharani!
😁😁😁hahahahaha Leo nimeona mtu anabakwa hadharani!
Unataka niandikaje ili ujue Mimi Simba au niseme tuna kikosi kipana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, sasa hao waarabu nao waitaje kikosi chao,km Simba ni kikosi kipanaSimnasemaga mnakikosi kipana nyie hahahhaaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inakuwaje sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenendo wenu ni viganja tu,j soura Lazima nawao walipizeSijui tunafeli wapi tukiwa ugenini wachezaji wanapata karibia kila kitu lakini matokeo yake hawajitumi,Hadi dk hii nakwenda kulala tumeshapigwa na mwarabu 5 daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia mbaya hiyo nyie mnakikosi kipana watacheza wengineNajipa likizo rasmi kuifatilia Simba Sc