Simba hii aibu mnayoendelea kutupa tumeshindwa kuivumilia

Umeshapiga hata Mswaki kweli? Mbona Nasikia kajiharufu kabaya?
 
Inashangaza sana simba wanawachezaji Saba wanaotoka nje waliocheza mechi ya jana najiuliza hv kuna haja ya kuwa na wachezaji wa aina hii poleni sana watani zetu bila shaka mmevunja record kama mechi mbili Magoli 10 hili si janga la Taifa
Karia anatumia muda wake kumpiga vijembe lissu...league mbovu, haina wadhamini...hakuna strategies zozote za ku establish mpira wetu...
Tusitafute mchawi...msomali tatizo kwenye mpira wa nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba watawakatia rufaa Al Ahyly kwa kuwadanganya kuwa uwanja utakuwa na mashabiki 10000 wakati ulijaza watu 100000 na pia walikuwa na mchezaji mmoja mweusi Si Mwarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al Ahly watu wastaarabu sana. Kipindi cha pili wakaona isiwe shida zile 5 za first half zinatosha.
FIFA fair play.
Wale jamaa hata mimi niliwashukuru.. ile ni zaidi ya fair play mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…