Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Umeshapiga hata Mswaki kweli? Mbona Nasikia kajiharufu kabaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karia anatumia muda wake kumpiga vijembe lissu...league mbovu, haina wadhamini...hakuna strategies zozote za ku establish mpira wetu...Inashangaza sana simba wanawachezaji Saba wanaotoka nje waliocheza mechi ya jana najiuliza hv kuna haja ya kuwa na wachezaji wa aina hii poleni sana watani zetu bila shaka mmevunja record kama mechi mbili Magoli 10 hili si janga la Taifa
hahahaa rais wa TFF mwenyewe anapambana na utundulissu huko
Simba watawakatia rufaa Al Ahyly kwa kuwadanganya kuwa uwanja utakuwa na mashabiki 10000 wakati ulijaza watu 100000 na pia walikuwa na mchezaji mmoja mweusi Si Mwarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 aseee!Kocha nae kasimama kama mshumaa
[emoji1] [emoji1]Simnasemaga mnakikosi kipana nyie hahahhaaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inakuwaje sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Simnasemaga mnakikosi kipana nyie hahahhaaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inakuwaje sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mchezaji wa Simba mwenye kiwango cha CAF...Zahera anahitaji pesa akasajili wachezaji Wanne wa AS Vita.Laiti Mwinyi Zahera angepewa hao wachezaji wa Simba angalao wanne tu....Daah!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh te teeeUnataka niandikaje ili ujue Mimi Simba au niseme tuna kikosi kipana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale jamaa hata mimi niliwashukuru.. ile ni zaidi ya fair play mkuu.Al Ahly watu wastaarabu sana. Kipindi cha pili wakaona isiwe shida zile 5 za first half zinatosha.
FIFA fair play.
Simba timu ya HOVYO SANAA.
Yaani hawafanani kabisa na maneno ya mashabiki wao huku mitaani.
Sent using Jamii Forums mobile app