THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Naelewa Mashabiki wa Bongo issue kwao huwa ni matokeo tu wakipata magoli au ushindi ila Team inacheza hovyo wao ni kwishaa.
Na hapa sipo kuwaambia kuwa tarehe 8 mtafungwa.
Pitia saiv Youtube pale kuna Interview zinatembea mashabiki wanatoa hadi machozi wanasema hii simba waliyosajiliwa ya sasahivi ni ya moto hawajawahi ona😁😁
Hivi msomaji Kweli na wewe kwa akili zako ile simba unaiona imekamilika?
Yale magoli yaliyofungwa jana uliyaona kuna mfumo umetengenezwa kuyapata?
Kama utakaza shingo nitakukumbusha kipindi cha Robetinho mlikaza hivhiv shingo wakati Team inashinda 1-0 za mfululu na Team inacheza mpira hauelewekwi mwisho mkaja kuumbuka Droo zilivyoanza kuwafata na vipigo juu.
Na Team ikawa haifungi maana magoli mnayapata kiuchawichawi hakuna sayansi ya kupata magoli so mkibanwa kidogo tu hamna mfumo wa kutusua.
In short mi sisemei hapa kuwaambia matokeo ya tarehe 8 au kuwatisha kua mtafungwa NO.
Mnaweza shinda hio Tarehe 8 kama mlivyoshinda Last season kwa kupaki basi na kukaza ila mwishoe mkaumbuka Ligi ilivyoanza.
Team bado inahitaji mda msijipe matumaini kua mpo tayar No hizo damu changa zinacheza kila mtu kivyake.
#HappyYangaDay