Acha kuandika mashuduUna uelewa finyu wa mchezo wa soka
Sasa kama wamelala wanaloga uwanja usiku kucha na bado matokeo yakawa ayo ya kusubilia mpaka kigoli cha Asante refa kule ambako wanakwenda bila waganga wao unadhani itakuwaje!Ndo maana shirikisho ni mashindano madogo yaani hakuna bingwa wa nchi yoyote anayecheza haya mashindano ya kitoto
Leo nimetazama mchezo wa Simba dhidi ya Stellenbosch, ni kituko tu ni kama ndondo au mashindano ya Watoto wa shule
Simba inacheza kama haina coach? Timu haijui ikabe vip, ishambulie vip yaani ipo ipo ikitegemea dead balls
Referee kawabeba Simba alikuwa mkali Kwa wapinzani
Yaani ni kama mwamzi aliamua kuwakaba au kuwashika miguu Stellenbosch
Soma Pia: FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025
Timu ya Simba ni ndogo mno coach alijiuliza akitoka Ahoua angeingia nani kama mbadala
Leo Simba wamepata majeruhi ya Chamou ambaye alikuwa mbadala wa Che maloni na Ahoua nae ameumia, watakosa mchezo wa marudiano,
Hapo tungoje hiyo mechi wacheze akina Chasambi na Husein Kazi😀😃😂
Nawashauri Simba mkimbie mechi ya marudiano
Naona una shambolic kutoka winga hivi.Haya ndo mambo ambayo ccm wanafurahi wakiona masikini mnahangaika nayo
Mwiko huko nyuma unawafanya wasipumue vizuri, wasikuumize kichwa mkuu, utafikiri wao tu ndo walikuwa wanaangalia mpira.Simba inaenda next stage
We umeangalia mpira upi?
Eti timu haijui ikabe vipi,
Lakini ukumbuke mda huo wale walozi watakuwa wameachwa dar🤣Sio Shabiki wa Simba ila Simba anacheza Fainali, Wasauzi ni Wabovu, nadhani safari hii Team nyingi za Shirikisho ni Mbovu.
Simba anaenda kumfunga Msauzi kwao....! Japo Simba ni Mbovu ila hao Wasauzi ni Wabovu kuliko Simba, nimetizama Mechi zao 3, Makundi, robo na hii ya Leo, Wasauzi hawana Maajabu.
Simba imedominate kila idara kuanzia mechi ya Al masr ugenini mpaka nyumbani pamoja na hii ya leo, sasa sijui mpira unauangalaia kwa namna ganiNdo maana shirikisho ni mashindano madogo yaani hakuna bingwa wa nchi yoyote anayecheza haya mashindano ya kitoto
Leo nimetazama mchezo wa Simba dhidi ya Stellenbosch, ni kituko tu ni kama ndondo au mashindano ya Watoto wa shule
Simba inacheza kama haina coach? Timu haijui ikabe vip, ishambulie vip yaani ipo ipo ikitegemea dead balls
Referee kawabeba Simba alikuwa mkali Kwa wapinzani
Yaani ni kama mwamzi aliamua kuwakaba au kuwashika miguu Stellenbosch
Soma Pia: FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025
Timu ya Simba ni ndogo mno coach alijiuliza akitoka Ahoua angeingia nani kama mbadala
Leo Simba wamepata majeruhi ya Chamou ambaye alikuwa mbadala wa Che maloni na Ahoua nae ameumia, watakosa mchezo wa marudiano,
Hapo tungoje hiyo mechi wacheze akina Chasambi na Husein Kazi[emoji3][emoji2][emoji23]
Nawashauri Simba mkimbie mechi ya marudiano
babe mzimaWakakaze, lah sivyo watarudi kama paka aliyenyonyolewa manyoya.