Simba hii ilifikaje semi final? Nashauri mkimbie mechi ya marudiano huko South Africa

Haya ndo mambo ambayo ccm wanafurahi wakiona masikini mnahangaika nayo
Usituletee uchadema wako wewe kama umeamua kupambania vyeo vya kisiasa endelea ila usitudanganye we ni mtu tofauti na watanzania tunaowajua.Pole sana maana we ni utopolo halafu timu lissu!
 
Ndo maana shirikisho ni mashindano madogo yaani hakuna bingwa wa nchi yoyote anayecheza haya mashindano ya kitoto

Leo nimetazama mchezo wa Simba dhidi ya Stellenbosch, ni kituko tu ni kama ndondo au mashindano ya Watoto wa shule

Simba inacheza kama haina coach? Timu haijui ikabe vip, ishambulie vip yaani ipo ipo ikitegemea dead balls

Referee kawabeba Simba alikuwa mkali Kwa wapinzani

Yaani ni kama mwamzi aliamua kuwakaba au kuwashika miguu Stellenbosch

Soma Pia: FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Timu ya Simba ni ndogo mno coach alijiuliza akitoka Ahoua angeingia nani kama mbadala

Leo Simba wamepata majeruhi ya Chamou ambaye alikuwa mbadala wa Che maloni na Ahoua nae ameumia, watakosa mchezo wa marudiano,

Hapo tungoje hiyo mechi wacheze akina Chasambi na Husein Kazi😀😃😂

Nawashauri Simba mkimbie mechi ya marudiano
Hivi wewe haukuahidi kutoa Simba ikishinda?
 
..
 
Attachments

  • JamiiForums1381953234.jpeg
    JamiiForums1381953234.jpeg
    49.5 KB · Views: 10

Eti watakosa mechi ijayo
 
Wewe bwege unakula makande kisha una vuta bangi na kuanza kuandika utabiri pumba
 
Back
Top Bottom