Simba hii sio ya kufungwa na Yanga hii, ikitokea ntaenda kujizika hai kwetu Chumbageni

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Yanga amemfunga Azam jana na kuingia final, hongereni lakn timu hawana, Yanga kumfunga azam ni kawaida t, ameshamfunga mara ya 5 Leo, kuna watumishi pale sio waadilifu ndio maana yanga wanajiokotea tu, mtalaumu benchi lkn wapo baadhi watumishi wenye mapenzi na yanga na ndio wanaouza ishu, hata wakirudiana tena Leo, azam atafungwa tu.Azam wamewakaribisha jikoni Yanga kwa hiyo ishakula kwao.

Yanga ile ya jana ikutane na winga Onana, winga Micquisone, kati Fabrice Ngoma, muuaji Baleke au Phiri, kudadeki naenda kujizika mwenyewe chumbageni.Njia mnazotumia kupata ushindi Simba walishazipitia kitambo na wanazijua mara 100 yake, hiyo kutoa sadaka kwa yatima cjui kutoa damu sijui kuzika majina ya wachezaji makaburini, mtajua wenyewe
 
Sawa, tutawaona leo hao wachezaji wako.
 
Uzuri ndio misemo yenu ya kila siku hata misimu miwili nyuma, imani yenu ni kuwa ni Yanga ni mbovu huku Yanga ikiwa inaendelea kupata matokeo.

Wimbo imeanzia pale pale ilipoishia msimu uliopita;
Yanga mbvu
Yanga anawanunua timu pinzani
Yanga inawaonga marefa
 
Simba nae akipita wakutane ili tuone kati ta Simba na Yanga ijulikane mapema msimu huu nani mbabe.
 
Punguza nyuzi za kipumbavu au ni shoga yake **** Lokole?, Umeshafuta nyuzi zako kuhusu Azam?. Fwalaaaaa wewe.
 
Huna akili ,mpira usikufanye uwe chizi kiasi hiko hadi kuleta mzaha kwenye uhai .Jitafakari huenda una watoto na familia inakutegemea sasa mtoto asome post kama hii na ajue ni ya Baba yake atujua kwa hakika hana Baba ni Kiazi
 
Wewe utacheza namba ngapi?
 
SAVED FOR REFERENCE
 
Tatizo dalili zote zinaonesha mtakutana na azam kutafuta mshindi wa 3 la sivyo ningekujibu.

Mkuu hii comment yako imenifanya niwaonee huruma Simba [emoji28] kwaiyo ata mshind wa 3 hapati
 
Naiona Simba ikifungwa goli mbili bila leo
 
Ameshapata mshindi wa 4. Uhakika kabisa.

Kiukwel napenda mtani ateseke ila sipendi hili liwakute [emoji28] Maana wataanza kumtukana kocha na wataamia kwa Mwamedi asa mwamedi akisusa wakianza kum bembeleza wakija kushtuka msimu umeisha wataanza kusema Yanga wana nunua marefa mara yanga wanawaujumu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hujavuka kizingiti cha Singida fc bado
 
Tuache masihara, mtani jana kapiga mpira mwingi, nikawa najiuliza huyu ndio utopolo ninaemjua mimi? Kaupiga mwingi, azam wakafyata mkia.
Ngoja leo tumuone mnyama.
 
Kumbuka kipind unachukua ubingwa back to back azam kwako alikuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…