Simba hii? Sioni kabisa sababu ya wao kulipwa pesa nyingi

Eti Pesa Nyingi? Na Al Ahly, Tp Mazembe, Kaizer Chiefs nao wasemeje?! Kwanini mnaruhusu Manara awachezee akili kiasi hiki?!
 
Ni wachezaji wasiojituma, na ninapendekeza mishahara ipunguzwe sana. Hii ngozi nyeusi ukiwapa pesa ndefu wanalewa kiburi; si ajabu hata hawajitumi mazoezi binafsi.



Sent using Jamii Forums mobile app
Waanalipwa kulingana na mikataba.

Pesa ya mawazo ya Mo bado ipo ipo. Muda wowote anachomoa betri.
 
binafsi sipendi kabisa hii fikra " hawa ngizi nyeusi ukiwalipa mshahara mzuri watalewa washindwe kufanya kazi" ma-HR wengi 'weusi' wana hili tatizo vichwani mwao
 
binafsi sipendi kabisa hii fikra " hawa ngizi nyeusi ukiwalipa mshahara mzuri watalewa washindwe kufanya kazi" ma-HR wengi 'weusi' wana hili tatizo vichwani mwao
Yaani tatizo letu sie wabongo hatutaki mbongo mwenzetu alipwe hela nyingi... Ila alipwe mzungu tunaufyata mkia.
 
kibaravumba, Tuna mizigo ya kutosha sana pale watu kama chama, kagere, Wabrazili wote, Ndemla, Gadiel, Shamte yaani wapo wengi tu hawastahili kuwa pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezaji ninayemsikitikia ni Ndemla.
Habadiliki anacheza vilevile Mwaka hadi Mwaka. Hajifunzi hata kwa Mzamiru.
Ndemla kama angefanya bidii asingekuwa hapa nchini, lakini inaonekana anasubiri mazoezi ya kocha wake, na hana mazoezi binafsi.
Kijana mdogo hana kasi ya mbio, anasubiri mpira wa kuletewa, hawezi kupiga chenga. Asilimia 90 ya mashuti yake hayalengi goli. sijaona akipiga faulo au penati, ingawa ndiye mwenye mashuti mazito zaidi hapa nchini.
Ndemla angefanya mazoezi kwa bidii namba ambayo ingemfaa ni namba 9, yaani mtu wa kuuchukua mpira na kuuweka wavuni.
Ndemla anakipaji kikubwa sana lakini hajakigundua yeye mwenyewe.
Hajiamini uwanjani ni kama anauogopa mpira.
Mimi ningeambiwa unataka uwe kama nani ningechagua niwe kama Ndemla na mda huu ningekuwa nakipiga katika timu ya Ligi Kuu England.
Golikipa gani wa kudaka shuti la Ndemla. HAKUNA.
Wachezaji wengine ambao walikuwa na vipaji vikubwa Ila hawakujielewa ni Shiboli na Mwaikimba.
Vipaji vyao vimepotea kwa kuto jiamini tu na bidii ndogo ya mazoezi.
Msuva na Samata ni bidii na kujiamini kwao ndiko kunakowasaidia.
Hakina ninasikitika.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
suala sio simba kulipwa pesa suala n kusubiria matunda ya uwekezaji kaangalie sheikh mansoor pale city kiasi alichomwaga kwa miaka mitano ya kwanza na matunda yameanza kuonekana lini na bado uefa anaisikia.
rudi pale kwa waarabu wa psg na harakat zao za uefa lakini bado wanahaha...
abromovich imemchukua zaidi ya miaka 8 kupata uefa.....

uwekezaji n suala la muda tu mkuu...
au unataka ngekewa za kina leicester city?

``mpira pesa``
 
Duh leo hii Babu Kagere ni mzigo pamoja na ule Mwamba wa Lusaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
majamaa ya simba mengi akili zao huwa wanaziacha wanatumia za manara. nina marafiki zangu wengi wengine wan elimu kubwa tu wapo madokta (Dr) wapo wenye shahada mpk za uzamili ila wakianza kuisemea simba yao vinywani wanakua watupu kabisa. na hawakawii kupandisha hasira wakizidiwa hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…