Simba hii tema mate chini, labda wasaliti ndani ya timu wauze ishu

Golini Caique Santos, kulia Kapombe, kushoto Tshabalala, Nne Inonga, kitasa Che Malone, Six Fabrice Ngoma, Winga Kramo, winga Onana, Nane Triple C, Tisa Baleke Kumi Ntibazonkiza au Phiri.

Aiseeeeeeeee, aje Mamelodi, aje Al Ahly au mjinga yeyote yule.
Mungu ibariki SIMBA[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Golini Caique Santos, kulia Kapombe, kushoto Tshabalala, Nne Inonga, kitasa Che Malone, Six Fabrice Ngoma, Winga Kramo, winga Onana, Nane Triple C, Tisa Baleke Kumi Ntibazonkiza au Phiri.

Aiseeeeeeeee, aje Mamelodi, aje Al Ahly au mjinga yeyote yule.
aahhaaa...sisi hapa babu kaju+aucho mbele yao muda,juu maxi,mzize na musonda,pale berlin kuna bacca+nyeto+job+mutambala...mbona NBC msimu huu tunalokota tena,tunapangusa kitu pwani😛😛😛
 
Hakuna jipya hapo. Msimu mzima utapita kama ile mingine tu. Yaani itakuwa ni bila bila. Nimekaa pale 👉 🧔.

Tukutane mwishoni mwa msimu panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu, muweza wa yote.
 
Golini Caique Santos, kulia Kapombe, kushoto Tshabalala, Nne Inonga, kitasa Che Malone, Six Fabrice Ngoma, Winga Kramo, winga Onana, Nane Triple C, Tisa Baleke Kumi Ntibazonkiza au Phiri.

Aiseeeeeeeee, aje Mamelodi, aje Al Ahly au mjinga yeyote yule.

Weka na wachezaji wa akiba tuone upana wa kikosi chetu.
 
Golini Caique Santos, kulia Kapombe, kushoto Tshabalala, Nne Inonga, kitasa Che Malone, Six Fabrice Ngoma, Winga Kramo, winga Onana, Nane Triple C, Tisa Baleke Kumi Ntibazonkiza au Phiri.

Aiseeeeeeeee, aje Mamelodi, aje Al Ahly au mjinga yeyote yule.
Jamaa ana kitu huyu asipuuzwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Binafsi Sina IMANI na wachezaji wanaotoka Nje ya Africa.

Simba na Santos wameshindwana.

1. Lugha anayotumia kileno ni changamoto kuwapanga Mabeki wanaoongea kiingeleza na kifaransa na kiswahili.

2. Simba wamehofia KUJIRUDIA ishu za DEJAN Jaja Mohamed Ottara nk.

Kunataarifa wanahitaji Golikipa kutoka Cameroon.
 
Lugha sio tatizo labda awe hana uwezo
 
Binafsi Sina IMANI na wachezaji wanaotoka Nje ya Africa.

Simba na Santos wameshindwana.

1. Lugha anayotumia kileno ni changamoto kuwapanga Mabeki wanaoongea kiingeleza na kifaransa na kiswahili.

2. Simba wamehofia KUJIRUDIA ishu za DEJAN Jaja Mohamed Ottara nk.

Kunataarifa wanahitaji Golikipa kutoka Cameroon.
This is 2023 na bado mnaleta visingizio vya kwamba someone can't do something sababu ya language barrier, kweli..??
Yaani wabongo tuna shida sana, in this world saivi skills set zinauzika kuliko anything of the sort. Vi changamoto vya language barrier sijui nini hivyo havina maana tena especially in sports. Labda kama hela hawana tunaweza kuwaelewa.
 
Golini Caique Santos, kulia Kapombe, kushoto Tshabalala, Nne Inonga, kitasa Che Malone, Six Fabrice Ngoma, Winga Kramo, winga Onana, Nane Triple C, Tisa Baleke Kumi Ntibazonkiza au Phiri.

Aiseeeeeeeee, aje Mamelodi, aje Al Ahly au mjinga yeyote yule.
Duuu! Wabongo wawili tu?
 
Kwa hilo kosi dk ya 4 tu ushapigiwa kona 30 .Hatari mletee Man City ,Simba day.Ndio saizi yetu.
 
Yani Simba ya motooo..
Majirani hali yao dhoofu
 
Golini Caique Santos, kulia Kapombe, kushoto Tshabalala, Nne Inonga, kitasa Che Malone, Six Fabrice Ngoma, Winga Kramo, winga Onana, Nane Triple C, Tisa Baleke Kumi Ntibazonkiza au Phiri.

Aiseeeeeeeee, aje Mamelodi, aje Al Ahly au mjinga yeyote yule.
Huyo mtu Ngoma ni hatari sijui km kwa miaka ya karibuni tumewahi kuwa na level yake Tz
 
Back
Top Bottom