Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Ngoja wazee wa Atlas waje wachore ramani ya Dunia kuonyesha Moscow ilipoAsante kwa taarifa.
Ila Moscow haipo Ulaya!
Baada ya hapo watasema wanaitaka Shakter donesky🤔Hana unyama wowote,timu imefungiwa dunia,haijacheza mwaka mzima,mnatoa sare🏃
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mkuu wewe ni mmiliki wa Dodoma wine??Nitakupa box zima
HamjamalizaaaaaaaaaaaKlabu kubwa hapa afrika Simba mnyama mkali leo imetoshana nguvu na vigogo wa soka barani ulaya CSKA Moscow kwa kufungana magoli 2-2 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa huko Dubai.
Magoli yote mawili ya Mnyama mkali Simba yametiwa kimiani na Mshambuliaji mkali Habib kyombo (Halland wa bongo)
Baada ya kumaliza mechi zake za kimataifa za kirafiki, timu ya Simba itaanza safari ya kurudi nchini iyo kesho jumatatu kujiandaa na mchezo wa ligi ya Nbc dhidi ya mbeya city unaotarajia kupigwa jumatano ya tarehe 18/Jan
Kama ni kweli,sitarajii kusikia anaitaka nayo Shakter donesky 🤔Mkuu Simba ni mnyama mkali inabidi ukubali tu
Mleteee sawadogo mlete sawadogo[emoji1][emoji1]Hamjamalizaaaaaaaaaaa
Akili imekukaa sawa sasa acha kwenda kule kigamboniTumeukubali Mzee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]... Simba ni tishio ukanda huu wa maziwa makuu,Afrika na Dunia Kwa ujumla
Ligi ya kwao si inaendelea ? Wamefungiwa kucheza mashindano makubwa ulayaHana unyama wowote,timu imefungiwa dunia,haijacheza mwaka mzima,mnatoa sare🏃
Acha kubweka bweka hovyoFriendly match mnashangilia hivyo nilijua ni mechi ya UEFA
Ngoja waje utopolo wenzake kumshambuliaMna mashaka na utopolo og?? hana baya yy anasema ni mjumbe tuu 😆 😆 😆 😆
Tulia mtopolo. kwani Friends Rangers inacheza ligi gani? Mwaga povuuHana unyama wowote,timu imefungiwa dunia,haijacheza mwaka mzima,mnatoa sare🏃
Asante kwa taarifa.
Ila Moscow haipo Ulaya!
Halafu Simba ikafungwa na kibonde wa ligi ya Dubai, vituko haviishi duniani.Namaanisha hawa CSKA waliwazabua Real Madrid 3-0 kwaio kama Madrid ndio bingwa wa Ulaya basi hawa CSKA ni Wababe wa mabingwa wa ulaya. Ila [emoji120][emoji120] kwa mchango wako ulilenga kujenga
Alafu na bado tutawakanda tu mmepangiwa watotoAcha kubweka bweka hovyo
Vyote ni vipimio vyetu sio nyie kila kukicha na mbuni fc halafu mnatusumbua
Iko wapi ..tufundisheAsante kwa taarifa.
Ila Moscow haipo Ulaya!
Ngoja tukutafutie ban ili siku nyingine usiite watu kwa majina humuUtakuwa Ahmed Ally wewe sio Kwa kuisemea Simba ki hivyo
Dah... Wewe ni utopolo kweli kweli... aina Ile aliyomaanisha Luck EmayelAsante kwa taarifa.
Ila Moscow haipo Ulaya!
Ungechezanao wewe kama ni watotoAlafu na bado tutawakanda tu mmepangiwa watoto
Kumbe hili nalo ni kosa kisheria za JF. Sijawahi kumuita mtu lakini sikujua kama ni kosaNgoja tukutafutie ban ili siku nyingine usiite watu kwa majina humu