Simba hii vilio basi, Wababe wa Ulaya kutoka Moscow nusura walale na viatu

Namaanisha hawa CSKA waliwazabua Real Madrid 3-0 kwaio kama Madrid ndio bingwa wa Ulaya basi hawa CSKA ni Wababe wa mabingwa wa ulaya. Ila [emoji120][emoji120] kwa mchango wako ulilenga kujenga
Saud arabia vs argentina wc 2022,unajua mwenyew who had the last laugh.

Anyways am happy for SSC
 
Na akuna haja ya kusajili kyombo anatosha kaweka 2 peke yake na kibudenga kocha kamkubali hii simba itatoboa mpaka nusu fainali labda tuongezee wachezaji wachache walioachwa na timu zao ili kuongeza nguvu kwenye kikosi🤣
 
Una heka heka na habari za Simba,tutamwambia Ahmed Ally akufikirie japo kwa bundle la 5000 japo wewe ni @@utopolo og
 
Sijui unaripoti kutokea Dubenga au uko wapi nikupe Wine kutoka Dodoma hapa....
Huyu inabidi apate a carton of wine kutoka kwa Fiorenzo wa CETAWICO,siyo kwa heka heka hizi za kureport habari za Simba
 
Hivi Yanga yangu wanachezaga na tim gani mechi za kirafiki ?
Wanachezeaga wapi ?

Nauliza tu kwakuwa mi nimgeni hapa mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…