Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saud arabia vs argentina wc 2022,unajua mwenyew who had the last laugh.Namaanisha hawa CSKA waliwazabua Real Madrid 3-0 kwaio kama Madrid ndio bingwa wa Ulaya basi hawa CSKA ni Wababe wa mabingwa wa ulaya. Ila [emoji120][emoji120] kwa mchango wako ulilenga kujenga
sawaUngechezanao wewe kama ni watoto
Mliwashindwa ihefu ijekuwa hao?
Na akuna haja ya kusajili kyombo anatosha kaweka 2 peke yake na kibudenga kocha kamkubali hii simba itatoboa mpaka nusu fainali labda tuongezee wachezaji wachache walioachwa na timu zao ili kuongeza nguvu kwenye kikosi🤣Klabu kubwa hapa afrika Simba mnyama mkali leo imetoshana nguvu na vigogo wa soka barani ulaya CSKA Moscow kwa kufungana magoli 2-2 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa huko Dubai.
Magoli yote mawili ya Mnyama mkali Simba yametiwa kimiani na Mshambuliaji mkali Habib kyombo (Halland wa bongo)
Baada ya kumaliza mechi zake za kimataifa za kirafiki, timu ya Simba itaanza safari ya kurudi nchini iyo kesho jumatatu kujiandaa na mchezo wa ligi ya Nbc dhidi ya mbeya city unaotarajia kupigwa jumatano ya tarehe 18/Jan
Hiyo ni Name Calling. Humu tumeficha majina, kumtaja mtu ni kosa unaweza kumletea madharaKumbe hili nalo ni kosa kisheria za JF. Sijawahi kumuita mtu lakini sikujua kama ni kosa
Una heka heka na habari za Simba,tutamwambia Ahmed Ally akufikirie japo kwa bundle la 5000 japo wewe ni @@utopolo ogKlabu kubwa hapa afrika Simba mnyama mkali leo imetoshana nguvu na vigogo wa soka barani ulaya CSKA Moscow kwa kufungana magoli 2-2 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa huko Dubai.
Magoli yote mawili ya Mnyama mkali Simba yametiwa kimiani na Mshambuliaji mkali Habib kyombo (Halland wa bongo)
Baada ya kumaliza mechi zake za kimataifa za kirafiki, timu ya Simba itaanza safari ya kurudi nchini iyo kesho jumatatu kujiandaa na mchezo wa ligi ya Nbc dhidi ya mbeya city unaotarajia kupigwa jumatano ya tarehe 18/Jan
Huyu inabidi apate a carton of wine kutoka kwa Fiorenzo wa CETAWICO,siyo kwa heka heka hizi za kureport habari za SimbaSijui unaripoti kutokea Dubenga au uko wapi nikupe Wine kutoka Dodoma hapa....
Tumzawadie ripota wetuHuyu inabidi apate a carton of wine kutoka kwa Fiorenzo wa CETAWICO,siyo kwa heka heka hizi za kureport habari za Simba
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji106][emoji106]Huyu inabidi apate a carton of wine kutoka kwa Fiorenzo wa CETAWICO,siyo kwa heka heka hizi za kureport habari za Simba
😆 😆 😆 walaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mkuu wewe ni mmiliki wa Dodoma wine??