Simba hii ya ubaya ubwela mtaiona vizuri Jumamosi. Kila kitu kipo sawa mipango yetu nje ya uwanja

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Simba hii ya ubaya ubwela mtaiona vizuri Jumamosi.Kila kitu kipo sawa mipango yetu nje ya uwanja yote imekamilika.

Kila kitu kipo mikononi mwetu sisi tu kuamua tufunge kwa style ipi,tuamue kugaragara kwenye 18 au 17 ni sisi tu.

Mtanielewa Dec,28 dadekii
 
UTOPOLO kwa kuhangaika tu, hamuwezekaniki!!!
 
Ubaya Ubwela..... Slogan Bora katika Miaka hivi ya Karibuni kuwahi kutokea....
Kule Matopeni Wanabadilisha kila leo slogani zao... !

Mara ooo 'Nyie Hamuogopi'...? Baada ya Kubabuliwa na Tabora,Al Hilal na wale waarabu wamegundua haogopwi mtu.. Sasa wameleta 'Gusa achia twende kwao'.. Hii na yenyewe haitakatiza January 2025 Lazima waje na nyingine hasa baada ya Kuishia Makundi CAF.

Shida pale ni Umri wa wale wachezaji wazee.
 
Umemaliza
 
Simba hii ya ubaya ubwela mtaiona vizuri Jumamosi.Kila kitu kipo sawa mipango yetu nje ya uwanja yote imekamilika.

Kila kitu kipo mikononi mwetu sisi tu kuamua tufunge kwa style ipi,tuamue kugaragara kwenye 18 au 17 ni sisi tu.

Mtanielewa Dec,28 dadekii
Mechi saa ngp
 
Penati [emoji736]
Red card [emoji736]

Bahasha ishamaliza yake
 
Ubaya Ubwela..... Slogan Bora katika Miaka hivi ya Karibuni kuwahi kutokea....
Kule Matopeni Wanabadilisha kila leo slogani zao... !

Mara ooo 'Nyie Hamuogopi'...? Baada ya Kubabuliwa na Tabora,Al Hilal na wale waarabu wamegundua haogopwi mtu.. Sasa wameleta 'Gusa achia twende kwao'.. Hii na yenyewe haitakatiza January 2025 Lazima waje na nyingine hasa baada ya Kuishia Makundi CAF.

Shida pale ni Umri wa wale wachezaji wazee.
Tumewapiga mara mbili na huo ubaya ubwege wenu iliwasidia nini slogan
 
Ubaya Ubwela..... Slogan Bora katika Miaka hivi ya Karibuni kuwahi kutokea....
Kule Matopeni Wanabadilisha kila leo slogani zao... !

Mara ooo 'Nyie Hamuogopi'...? Baada ya Kubabuliwa na Tabora,Al Hilal na wale waarabu wamegundua haogopwi mtu.. Sasa wameleta 'Gusa achia twende kwao'.. Hii na yenyewe haitakatiza January 2025 Lazima waje na nyingine hasa baada ya Kuishia Makundi CAF.

Shida pale ni Umri wa wale wachezaji wazee.
Wanahangaikaga na misemo mwisho wanarudi kwenye mwiko nyuma.
 
Ubaya Ubwela..... Slogan Bora katika Miaka hivi ya Karibuni kuwahi kutokea....
Kule Matopeni Wanabadilisha kila leo slogani zao... !

Mara ooo 'Nyie Hamuogopi'...? Baada ya Kubabuliwa na Tabora,Al Hilal na wale waarabu wamegundua haogopwi mtu.. Sasa wameleta 'Gusa achia twende kwao'.. Hii na yenyewe haitakatiza January 2025 Lazima waje na nyingine hasa baada ya Kuishia Makundi CAF.

Shida pale ni Umri wa wale wachezaji wazee.
Mwakani hiyo slogan iongezewe kaneno tu mbele, Bonge la slogan" Ubaya Ubwela"
 
Back
Top Bottom