Simba hii ya ubaya ubwela mtaiona vizuri Jumamosi. Kila kitu kipo sawa mipango yetu nje ya uwanja

Simba hii ya ubaya ubwela mtaiona vizuri Jumamosi. Kila kitu kipo sawa mipango yetu nje ya uwanja

Simba hii ya ubaya ubwela mtaiona vizuri Jumamosi.Kila kitu kipo sawa mipango yetu nje ya uwanja yote imekamilika.

Kila kitu kipo mikononi mwetu sisi tu kuamua tufunge kwa style ipi,tuamue kugaragara kwenye 18 au 17 ni sisi tu.

Mtanielewa Dec,28 dadekii
Umejinadi mapema tutarajie penati za mchongo kwa bahasha za kaki zinatoka kwa viongozi wa makolo na kuwapati marefa.
 
Ila mashabiki w Simba bhana🤣🤣🤣🤣🤣,hlf akili zafanana woteee
 
Back
Top Bottom