mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Huu woga ndiyo huwa unawafanya mnaishia hatua ya awali kila mkipeleka pua zenu kwenye hayo mashindano. Kundi kutajwa tu wewe tayari mavi yanagonga boxer. Simba keshayazoea mashindano hayo. Ingelikuwa utopolo , hapo sawa. Jiandae kwenda airport kupokea wageni wetu Maana hiyo ndiyo kazi yenu.Vipigo vya huko ni Soo,unafikiri Hitimana mjinga? Kajivua lawama mapemaaa.
Jiandae kupokea wageni (mapokezi fc). Hiyo ndiyo kazi yenu. Haya mengine mwachie baba wa kaya simba mwenyewe. Kazi ya watoto na mama wa nyumbani ni kupokea wageni tu. Haya mengine ni kuingilia majukumu yasiyo kuhusu. Sawa mama j?Vipigo vya huko ni Soo,unafikiri Hitimana mjinga? Kajivua lawama mapemaaa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vipigo vya huko ni Soo,unafikiri Hitimana mjinga? Kajivua lawama mapemaaa.
Mama j , Kazi ya mama nyumbani na watoto ni kupokea wageni . Anza kufanya maandalizi ya kuwa unakwenda airport kupokea wageni. Hiyo Kazi unayoiona ngumu mwachie baba wa kaya atamaliza. Sawa mama j?Vipigo vya huko ni Soo,unafikiri Hitimana mjinga? Kajivua lawama mapemaaa.
isiwaongezee sifa makundi hawajawahi kufika hataHuu woga ndiyo huwa unawafanya mnaishia hatua ya awali kila mkipeleka pua zenu kwenye hayo mashindano. Kundi kutajwa tu wewe tayari mavi yanagonga boxer. Simba keshayazoea mashindano hayo. Ingelikuwa utopolo , hapo sawa. Jiandae kwenda airport kupokea wageni wetu Maana hiyo ndiyo kazi yenu.
Yanga hajawahi fika makundi kwenye champions league mkuu. Ila kwenye shirikisho alifika sawasawa na Namungo tuisiwaongezee sifa makundi hawajawahi kufika hata
Vipi inayopigwa na kumwagiwa nje na ndani?Usitegemee lolote toka kwa timu inayofungwa na Makirikiri goli tatu ndani ya dk 45
Nilijua tu chura lazima atoe kichwa kwenye maji.Usitegemee lolote toka kwa timu inayofungwa na Makirikiri goli tatu ndani ya dk 45
Nyie mulimwagiwa ndani [emoji23][emoji23]Vipi inayopigwa na kumwagiwa nje na ndani?
Simba outMimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Nigeria labda nafuu.
Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini?
Hii timu ya Nigeria ipigwe nje ndani,
Berkane na Mimosas wapigwe kwa mkapa draw away.
Au mahesabu yapangwe vipi?
Wale wa kidimbwi hii thread haiwahusu huwezi kumshauri aliyekuzidi mafanikio
View attachment 2060551
Mafanikio gani mlionayo?Mimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Nigeria labda nafuu.
Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini?
Hii timu ya Nigeria ipigwe nje ndani,
Berkane na Mimosas wapigwe kwa mkapa draw away.
Au mahesabu yapangwe vipi?
Wale wa kidimbwi hii thread haiwahusu huwezi kumshauri aliyekuzidi mafanikio
View attachment 2060551