Simba hili kundi tutachukua points kwa nani?

Vipigo vya huko ni Soo,unafikiri Hitimana mjinga? Kajivua lawama mapemaaa.
Huu woga ndiyo huwa unawafanya mnaishia hatua ya awali kila mkipeleka pua zenu kwenye hayo mashindano. Kundi kutajwa tu wewe tayari mavi yanagonga boxer. Simba keshayazoea mashindano hayo. Ingelikuwa utopolo , hapo sawa. Jiandae kwenda airport kupokea wageni wetu Maana hiyo ndiyo kazi yenu.
 
isiwaongezee sifa makundi hawajawahi kufika hata
 
Usitegemee lolote toka kwa timu inayofungwa na Makirikiri goli tatu ndani ya dk 45
Nilijua tu chura lazima atoe kichwa kwenye maji.
Vipi tutegemee ya uto kumanuliwa nje ndani na River?
 
kale ka timu ka Botswana kaliwatoa kamasi, sioni wakitoa hawa jamaa!
 
Mimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Nigeria labda nafuu.

Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini?

Hii timu ya Nigeria ipigwe nje ndani,

Berkane na Mimosas wapigwe kwa mkapa draw away.

Au mahesabu yapangwe vipi?

Wale wa kidimbwi hii thread haiwahusu huwezi kumshauri aliyekuzidi mafanikio
View attachment 2060551
Simba out
 
Kila msimu huwa mnahangaika na swali hili hili. Sio lazima wote tushabikie football.
 
Mimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Nigeria labda nafuu.

Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini?

Hii timu ya Nigeria ipigwe nje ndani,

Berkane na Mimosas wapigwe kwa mkapa draw away.

Au mahesabu yapangwe vipi?

Wale wa kidimbwi hii thread haiwahusu huwezi kumshauri aliyekuzidi mafanikio
View attachment 2060551
Mafanikio gani mlionayo?
 
Back
Top Bottom