Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 984
- 926
Ukicheza wewe itakuwa hivyo.Sijui lakini!! kwa kundi hili simba njia ni nyeupe kuingia robo fainali..kwa sababu sioni timu ya kuifunga simba hapa kwa mkapa ila naona simba inaweza kulazimisha draw hata mbili ugenini..
Aisee!Tutaipiga nje ndani Rs Berkane[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Usikariri maisha. Ulikuwa kundi moja na AL Ahly, lakini AL Ahly yuko na nani na Simba yuko na nani.Tulitoboa kundi la Al Ahly, AS Vita, na Al Merrikh.
Wao pia walipoona Simba yupo kundi moja nao kihoro kimewapata.
Florent Ibenge ( RS Berkane) tushamtoa ×2 kwenye CAF CL tournaments.
Simba sc ni team imara, Inshallah tutatoboa.
Simba mabingwa wa Afrika mara ngapi?Barkane mabingwa wa club bingwa Africa Mara ngapi?
Simba hawezi kuzubaa?Akizubaa tunabeba 6 au 4[emoji23][emoji23]
Baba wa kaya analeta nini? Simba awe baba wa kaya na AL Ahly awe nani nyie mbumbumbu?Jiandae kupokea wageni (mapokezi fc). Hiyo ndiyo kazi yenu. Haya mengine mwachie baba wa kaya simba mwenyewe. Kazi ya watoto na mama wa nyumbani ni kupokea wageni tu. Haya mengine ni kuingilia majukumu yasiyo kuhusu. Sawa mama j?
Makundi yepi? Hizi akili sijui za wapi?isiwaongezee sifa makundi hawajawahi kufika hata
Hujawahi wewe. Halafu acha kufananisha Yanga na vitu vya kijinga(Namungo). 1998 alifika makundi CL, 2016 makundi CC alipangwa kundi moja na Mazembe na 2018 na akapangwa kundi moja na Gor Mahia.Yanga hajawahi fika makundi kwenye champions league mkuu. Ila kwenye shirikisho alifika sawasawa na Namungo tu
Hivi unapoongea takataka kama hizi huwa unatumia kichwa kufikiri au makalio? Ukute na wewe ni degree holder.Group Z
1. Yanga sc
2. Kauzu fc
3. Keko furniture fc
4. Torori kombain fc
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Na mimba juu.Nyie mulimwagiwa ndani [emoji23][emoji23]
Kwa kupitia njia ipi?una roho mbaya. ,tutaenda makundi huku tunakupiga makofi
Viti maalumu ili mshiriki tena na kumwagiwa nje na ndaniBaba wa kaya analeta nini? Simba awe baba wa kaya na AL Ahly awe nani nyie mbumbumbu?
Hili kundi linashiriki Wapi?Yanga sijui na yeye asemeje ?😆
View attachment 2060583
Teh, nasubiri kumuona tena Onyango anavoangaika kwa TuisilaTimu ambayo kdogo itatusumbua ni Berkane,hao wengine tutawapelekea moto
Na alitoka na point 1 tu kwenye kundiYanga hajawahi fika makundi kwenye champions league mkuu. Ila kwenye shirikisho alifika sawasawa na Namungo tu
Hueleweki, kwa hiyo asec mimosas ni hatari kuliko al ahly?Usikariri maisha. Ulikuwa kundi moja na AL Ahly, lakini AL Ahly yuko na nani na Simba yuko na nani.
Hujawahi wewe. Halafu acha kufananisha Yanga na vitu vya kijinga(Namungo). 1998 alifika makundi CL, 2016 makundi CC alipangwa kundi moja na Mazembe na 2018 na akapangwa kundi moja na Gor Mahia.
Tukiweka historia Simba tulicheza fainali ya CAF sijui utopolo watasemaje.Somo la Historia darasa la nne B[emoji3]
Tusubiri kumuona Tuisila akisindikizwa nje hoi na InongaTeh, nasubiri kumuona tena Onyango anavoangaika kwa Tuisila