Mimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Nigeria labda nafuu.
Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini?
Hii timu ya Nigeria ipigwe nje ndani,
Berkane na Mimosas wapigwe kwa mkapa draw away.
Au mahesabu yapangwe vipi?
Wale wa kidimbwi hii thread haiwahusu huwezi kumshauri aliyekuzidi mafanikio
View attachment 2060551