Simba hio Nafasi ya 3 Mkikaa Vibaya Hamtoki Hapo

Unajua haya Maisha usiruhusu kitu kikuzoeee kikikuzoea kina Jenga Makazi kina kua kama Part of your Life hata kama kulikua ni Temporary.

#Simba Jiangalieni hapo Mtaa wa 3 mnaweza msitoke.

View attachment 2850913
Hawa bila Chama hawawezi kushinda, huyo Onana hovyo tu, Bocco hamna kitu, mableach wao ndio kabisa.
 
Si wanasema Chama alikuwa anahujumu timu vipi tena?

Uongozi wa simba ujitathimini sana waache uswahili Swahili. Tangu yule dada aondoke simba. Utendaji umepwaya sana.

Ubora wa timu ni zaidi ya kuwa na wachezaji na kocha. Mfumo mzima wa simba unapwaya na katika kapwaya huko ndipo tunaona matokeo haya mabovu.

Mimi ni mtazamaji wa mpira na sio mwanachama wala shabiki. Uamuzi ni wao kuchukua hatua sahihi kufanya maboresho au mabadiliko ya management nzima ya simba au kuacha waendelee hivyohivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…