Simba hizi ndio level zetu sasa, tusishangae tujiandae mwakani.

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
681
Reaction score
1,020
Tuna wachezaji wa kawaida sana ndo level zao hizo. Tofauti na Aishi Manula, Beki kama Zimbwe Jr, Henock Inonga, Achieng Onyango, Shomari Kapombe. Wengi wanacheza chini ya kiwango sana.

Huwezi kupata magoli kama una forward aina ya Mugalu na Kiungo kama cha Mkude, Kanoute na Mzamiru.

Tuna Kocha wa kawaida sana ambaye hana jipya ya zaidi kuambiwa katoka Real Madrid, ukiuliza wapi kafundisha kapata mafanikio. Jibu Hakuna.

Tuna CEO anayependa Publicity zaidi ya kuujua mpira. Tukiuliza wapi kafanya Kazi katika sekta ya Mpira na kaleta matokeo. Tunaambiwa kasoma Marekani na ana masters katika Uchumi.

Tuache kujilinganisha na timu kama Mamelodi Sundowns, Al Ahly au Waydad.
 
Yule bibi babra sasa hivi uwezi kumsikia alipojificha, lakini ikitokea katukio kadogo ka timu kufanya vizuri utamuona twitter, Instagram kwenye makamera na vyombo vya habari akijionyesha yeye ndo ameleta ayo mafanikio, Sasa hivi kajificha kusikojulikana amewaachia kina mangungu na Try again wapambane na hali ngumu iliyopo kwenye timu,,,kajitu ka ovyo Sana aka kamtu
 
NGUVU MOYAAÀA
 
Tukubali tu sometimes mpira ni bahati tu,kwa timu kama mamelodi kutoka robo fainali sawa na simba ni swala la kufikirisha sana!yaani mpira uache kama ulivyo
 
Sasa angalia timu waliowatoa Mamelodi wamewekeza kiasi gani na wamesajili aina gani ya wachezaji.

Petro de Luanda wana kikosi cha gharama na wachezaji wenye vipaji vya juu.
 
Unataka kusema Petro de Luanda ni bora kuliko Al alhy ya Egypt [emoji1093] waliopigwa nje ndani na mamelodi?mpira sio pesa tu kiongozi kuna vitu vingine vingi ikiwepo na bahati
 
Wewe unaangalia takwimu sio uwezo wa sasa.
Kwa sasa Petro de Luanda wako bora na wana timu nzuri.
Wewe angalia Mamelodi kama huwa anatolewa na timu za kizembe na useme lini.
 
Yule bibi babra sasa hivi uwezi kumsikia alipojificha, lakini ikitokea katukio kadogo ka timu kufanya vizuri utamuona twitter, Instagram kwenye makamera na vyombo vya habari akijionyesha yeye ndo ameleta ayo mafanikio, Sasa hivi kajificha kusikojulikana amewaachia kina mangungu na Try again wapambane na hali ngumu iliyopo kwenye timu,,,kajitu ka ovyo Sana aka kamtu
Hata akijitokeza watu wanauliza pesa walizochanga za ujenzi wa uwanja ziko wapi?
 
Duh.... Haya tumekubali Yanga ni Ya 12 Kwa Ubora Afrika na Simba ni Ya 499 Kwa Ubora Afrika.
Umefurahi eti...! Kwa Mujibu Wa Mzee Eight hundreds Kg...!
Class is permanent, form is temporary.
 
Babra anaifanya kazi yake kwa uweledi wa 100%, mambo ya kwenye pitch yeye sio mchezaji au kocha, muachage ushamba wenu.
 
Yule bibi babra sasa hivi uwezi kumsikia alipojificha, lakini ikitokea katukio kadogo ka timu kufanya vizuri utamuona twitter, Instagram kwenye makamera na vyombo vya habari akijionyesha yeye ndo ameleta ayo mafanikio, Sasa hivi kajificha kusikojulikana amewaachia kina mangungu na Try again wapambane na hali ngumu iliyopo kwenye timu,,,kajitu ka ovyo Sana aka kamtu
Majungu tupu.
 
Babra anaifanya kazi yake kwa uweledi wa 100%, mambo ya kwenye pitch yeye sio mchezaji au kocha, muachage ushamba wenu.
Wewe ndo mshamba unajua kazi ya CEO katika timu ya mpira? Tuanzie hapo.. . Eti 100%
 
Back
Top Bottom