Simba hizi ndio level zetu sasa, tusishangae tujiandae mwakani.

Simba hizi ndio level zetu sasa, tusishangae tujiandae mwakani.

Tuna wachezaji wa kawaida sana ndo level zao hizo. Tofauti na Aishi Manula, Beki kama Zimbwe Jr, Henock Inonga, Achieng Onyango, Shomari Kapombe. Wengi wanacheza chini ya kiwango sana.

Huwezi kupata magoli kama una forward aina ya Mugalu na Kiungo kama cha Mkude, Kanoute na Mzamiru.

Tuna Kocha wa kawaida sana ambaye hana jipya ya zaidi kuambiwa katoka Real Madrid, ukiuliza wapi kafundisha kapata mafanikio. Jibu Hakuna.

Tuna CEO anayependa Publicity zaidi ya kuujua mpira. Tukiuliza wapi kafanya Kazi katika sekta ya Mpira na kaleta matokeo. Tunaambiwa kasoma Marekani na ana masters katika Uchumi.


Tuache kujilinganisha na timu kama Mamelodi Sundowns, Al Ahly au Waydad.A
Acha tuolinganishena wewe basi, tumemaliza bwashee
 
Tukusajili ww mleta mada au hamia uko utopoloni unakopaona kuna weledi
 
Tukusajili ww mleta mada au hamia uko utopoloni unakopaona kuna weledi
Ushachangia ?
IMG-20220504-WA0020.jpg
 
Back
Top Bottom