Horoya fan
Member
- Mar 13, 2023
- 79
- 253
Ukishafika kule wewe tayari ni mshindani. Wengine wakufanikiwa kuingia kwenye yale mashindano washabiki wake wala wanakua hawana mizuka, kabla jata haijatolewa unakuta mipango ya Club inakua wala haionyeshi kama wanania ya kushindana katika hatua ile nali mipango yote huwa inakua imekaa ki shirikisho, hata mashabiki wanakua wameshatangulia kwenye Kombe la Shirikisho wanaisubiri timu yao ifike.Maana sasahivi imezuka kasumba kwa Wana Simba waliyo wengi, kuwa sisi tunashiriki ligi ya mabingwa mara sisi tunashiriki super league, je niwaulize hivi mnaenda kushiriki au kushindana?
Nyinyi hamna malengo ya kushinda hayo makombe? Mmeridhika kuwa washiriki miaka nenda rudi?
Hawa Raja wamepotea miaka mingi kwenye soka la Afrika ila wanaoneka ni washindani nyie bado mmelala usingizi wa pono na hadhithi zenu zilezile tunashiriki supakapu..
Mtaendelea kushiriki wakati wenzenu wakibeba makombe shenzi kabisaa..
Anayeshindana lazima awe mshiriki. Huwezi ukasema unashindana Champions League wakati unashiriki shirikishoMaana sasahivi imezuka kasumba kwa Wana Simba waliyo wengi, kuwa sisi tunashiriki ligi ya mabingwa mara sisi tunashiriki super league, je niwaulize hivi mnaenda kushiriki au kushindana?
ukisikia mashabiki wa uto ni mbwa basi mbwa mmojawapo ni huyu.Maana sasahivi imezuka kasumba kwa Wana Simba waliyo wengi, kuwa sisi tunashiriki ligi ya mabingwa mara sisi tunashiriki super league, je niwaulize hivi mnaenda kushiriki au kushindana?
Nyinyi hamna malengo ya kushinda hayo makombe? Mmeridhika kuwa washiriki miaka nenda rudi?
Hawa Raja wamepotea miaka mingi kwenye soka la Afrika ila wanaoneka ni washindani nyie bado mmelala usingizi wa pono na hadhithi zenu zilezile tunashiriki supakapu..
Mtaendelea kushiriki wakati wenzenu wakibeba makombe shenzi kabisaa..
Na nyie Horoya vipiMaana sasahivi imezuka kasumba kwa Wana Simba waliyo wengi, kuwa sisi tunashiriki ligi ya mabingwa mara sisi tunashiriki super league, je niwaulize hivi mnaenda kushiriki au kushindana?
Nyinyi hamna malengo ya kushinda hayo makombe? Mmeridhika kuwa washiriki miaka nenda rudi?
Hawa Raja wamepotea miaka mingi kwenye soka la Afrika ila wanaoneka ni washindani nyie bado mmelala usingizi wa pono na hadhithi zenu zilezile tunashiriki supakapu..
Mtaendelea kushiriki wakati wenzenu wakibeba makombe shenzi kabisaa..
Uwezo wa Simba kutandaza soka ni mdogo sana kina Boko, uchochoro Zimbwe , Mkude wote ni kiwango cha ndondo cup Abajalo , Faru Dume , Ubelgiji, vipers , Bata Bullets fc huku promo na spika za kuisifia Simba vikipasua anga Africa nzima na mwangi wake kusikika Dunia nzima!
Mara wasifiwe kwa kukata Mauno yaani wanatukanwa ila eti yalivyo majuha yanashangilia Sadio Mane katupaisha!!!shenz taip!
nadhani Hawa makolo fc wazee wa kupigwa Tatu mzuka ndani nje na Mwarabu ni majuha na mambumbumbu wa grade one maana timu haina hata sahani sembuse kombe mwisho robo fainali Kwa miaka 49 Sasa ila kelele za kujiita wa kimataifa ni kubwa mno zinafika hadi barafu ya Antarctica!!
Mkuu lile goli tuliache tu maana nilipata mshangao kuona raja na ukubwa wao wanafungwa goli la vile,,Acha Ngonjera Wewe...!
Ngoja tujadili Ule Mgoli Wa Baleke pale Uwanja Wa Moh'd Wa Tano Moroko...we Uliunaje Ule Mgoli...?
Hao wastaafu wako clabu bingwa mwaka 5 mfululizo nyie vijana last mnashiriki klabu bingwa karibia miaka 25 sasa uko bize na maluza wenzako mazembeUnategemea wafike wapi timu imejaa wastaafu
TUMIA basi hata AKILI KIDOGO au ni KICHAA?Maana sasahivi imezuka kasumba kwa Wana Simba waliyo wengi, kuwa sisi tunashiriki ligi ya mabingwa mara sisi tunashiriki super league, je niwaulize hivi mnaenda kushiriki au kushindana?