Horoya fan
Member
- Mar 13, 2023
- 79
- 253
Maana sasahivi imezuka kasumba kwa Wana Simba waliyo wengi, kuwa sisi tunashiriki ligi ya mabingwa mara sisi tunashiriki super league, je niwaulize hivi mnaenda kushiriki au kushindana?
Nyinyi hamna malengo ya kushinda hayo makombe? Mmeridhika kuwa washiriki miaka nenda rudi?
Hawa Raja wamepotea miaka mingi kwenye soka la Afrika ila wanaoneka ni washindani nyie bado mmelala usingizi wa pono na hadhithi zenu zilezile tunashiriki supakapu..
Mtaendelea kushiriki wakati wenzenu wakibeba makombe shenzi kabisaa..