Simba iachane na Kocha Pablo mapema

Huyo huyo anawafaa,walimleta kwa mbwembwee nyingiii
 
Na huo ndo ukweli kocha wetu ana uwezo mdogo Sana.Miezi zaidi ya mitatu hata first 11 Hana halfu hajui kupanga kikosi ni kama anabahatisha tu pia inaonekana Hana uhusiano mzuri na wachezaji.
 
Kwani nyie hadi mnamchukua Nabil hamkumuona Mkwasa,eeeeeeeeeeeebo
 
Huyo leo mnasema hafai namna gani wakati alikuwa kwenye Technical Bench ya Real Madrid au leo mnakiri kwamba zile zilikuwa ni propaganda kama zile za kwenye uwanja wa vita.
 
Yan toka huyo babra awe CEO amna kocha wala mchezaji wa maana aliyeleta amebaki kuwa mtu wa kikiii tu na usharobaro huyo try again amekuwa mropokaji tu Kama mwanasiasa sijui huwa hawaoni timu inayumba kiuchezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…