DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Yanga kama ilivyo bibi yake CCM imehodhi wasanii wote wanaowika Tanzania. Hakuna haja ya Simba kupapatikia hawa wasanii wanaokuzwa na kulelewa katika misingi ya kisiasa.
Simba huwa inaanza wengine wanafuata. Badala ya kuwapigia magoti hawa wasanii au kuokoteza underground, nadhani kuanzia msimu ujao Simba ianze kuleta wasanii wa kimataifa kutoka nje. Simba haitakiwi kuishi kinyonge. Waacheni wao watambe na wasanii wao wa kisiasa.
Kuna wasanii wengi kuanzia hawa kina Davido na Burna Boy wa kizazi hiki, kuna magwiji kina Angelique Kidjo. Kuna wasanii wa Hip Hop na R&B wa Marekani wengi tu wa miaka ya 1990s na 2000s ambao wanaweza kupeleka tamasha hili katika kiwango cha kimataifa.
Hauhitaji msururu wa wasanii. Unahitaji dakika 15-30 za performance moja kali ya msanii mmoja mkali baasi.
Nawasilisha.