DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Hakuna tofauti. Ndiyo maana wote wamerundikana kule na kila siku wanatoa singo za kuisifia uto. Yaani wanacheza mle mleUmweza mbali sana mkuu! Wazo zuri
Unamtazama mondi, hamonize ni sawa na kuitazama ccm majukwaani
Mara ya mwisho Tundaman ameperform lini?Nyinyi hata mfanye nini, lazima tu mtamualika yule msanii wenu Tunaman anayeingia na majeneza au kufanya maigizo ya watu kujinyonga.
Nakubali. Naamini mashabiki wa Simba watakuwa tayari kulipa viingilio zaidi wakiletewa wasanii wakubwa. Ni muda sasa wa kuipeleka Simba Day to the next level.Tuchangane tumlete Davido
Daaah ila Simba haina hayo mambo. Wakati mwingine wanalazimishwa tu ila wanajua mashabiki hawafagilii kabisa hayo mamboUzi umejaa upumbavu halafu akimaliza kuimba anakuja mgeni rasmi mwanasiasa wa mbogamboga kuja kutoa meno/hotuba
Sasa hii akili au matope
Wewe umenielewa. Ni wakati wa kuwapotezea kabisa hawa wasanii wa bongo. Baadae wataanza kulialia na sisi tutawaambia wavune walichopanda maana tunajua Simba ikianza huu utaratibu na uto wataiga.Sema perfomance za wasanii wengi kama fiesta nazo jau. Chukua msanii mmoja anaekimbiza afrika, cheki na msanii mmoja wa marekani ambae amepotea kidogo kwenye chati lakini bado hajasahaulika mfano wiz khalifa gharama yake haiwezi kuwa kubwa sana
Wasanii wa bongo wanaweza wakachukuliwa lakini sio kwa idadi kubwa kama ilivyo sasa, na mimi nachokiongelea hapa ni kuongeza ufanisi na kutangaza tamasha kimataifa, sio kuwakomoa wasanii kwa sababu ya mienendo yao kisiasaWewe umenielewa. Ni wakati wa kuwapotezea kabisa hawa wasanii wa bongo. Baadae wataanza kulialia na sisi tutawaambia wavune walichopanda maana tunajua Simba ikianza huu utaratibu na uto wataiga.
Simba iwapotezee mazima mpaka akili iwakae sawa. Iende hata miaka 5 bila kuchukua msanii wa Bongo.Wasanii wa bongo wanaweza wakachukuliwa lakini sio kwa idadi kubwa kama ilivyo sasa, na mimi nachokiongelea hapa ni kuongeza ufanisi na kutangaza tamasha kimataifa, sio kuwakomoa wasanii kwa sababu ya mienendo yao kisiasa
Hao nimetolea tu mifano ila siyo lazima wawe hao. Na pia pesa ipo maana wadhamini wapo na mashabiki wapo, hakuna kinachoshindikana katika dunia hii.Davido, burna boy, Wizkid bei yao ni usd 1m, simba hatuwezi hilo bora wamchukue hata mshamba_hachekwi
MaDJ wapo na huwa wanakuwepo katika Simba Day.Kila saa matundaman matwangapepeta wa kazi Gani? Bora wangemwacha tu dj Fetty aimbishe watu kama dj Aly b anavyofanyaga yanga . ..au wamwache mboso tu..kujaza malundo ya wasanii wabovu kwanza huyo mwingine si aliingia na jeneza mpumbavu yule...ndio ubunifu Gani huo wa kishamba ...na hao wanawekwa kwa ushawishi wa baadhi ya viongozi wapuuzi tu wa timu ..
Wazo lako ni zuri ila tatizo muhindi atatoa hiyo pesa ??Yanga kama ilivyo bibi yake CCM imehodhi wasanii wote wanaowika Tanzania. Hakuna haja ya Simba kupapatikia hawa wasanii wanaokuzwa na kulelewa katika misingi ya kisiasa.
Simba huwa inaanza wengine wanafuata. Badala ya kuwapigia magoti hawa wasanii au kuokoteza underground, nadhani kuanzia msimu ujao Simba ianze kuleta wasanii wa kimataifa kutoka nje. Simba haitakiwi kuishi kinyonge. Waacheni wao watambe na wasanii wao wa kisiasa.
Kuna wasanii wengi kuanzia hawa kina Davido na Burna Boy wa kizazi hiki, kuna magwiji kina Angelique Kidjo. Kuna wasanii wa Hip Hop na R&B wa Marekani wengi tu wa miaka ya 1990s na 2000s ambao wanaweza kupeleka tamasha hili katika kiwango cha kimataifa.
Hauhitaji msururu wa wasanii. Unahitaji dakika 15-30 za performance moja kali ya msanii mmoja mkali baasi.
Nawasilisha.