Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Mipango tu mkuu. Ukipeleka tamasha kimataifa mfano subscribers wa kufatilia mtandaoni kwa kulipia. Hela inapatikana mkuu maana population ya Nigeria ni kubwaDavido, burna boy, Wizkid bei yao ni usd 1m, simba hatuwezi hilo bora wamchukue hata mshamba_hachekwi
Wazo lako ni zuri ila tatizo muhindi atatoa hiyo pesa ??
Mashabiki wa Simba siyo njaa kali. Muhimu wapewe taarifa hata miezi 3 kabla ili watu wajiandae. Viingilio na wadhamini wa tamasha wanatosha kabisa kulipia tu hizo gharama.Hela mnazo za kiingilio mkiwekewa kima cha chini kiingilio mtatoa hizo hela wasanii wa nje ni ghali.
🤣🤣🤣🤣Nyinyi hata mfanye nini, lazima tu mtamualika yule msanii wenu Tunaman anayeingia na majeneza au kufanya maigizo ya watu kujinyonga.
Mhindi anaondokaWazo lako ni zuri ila tatizo muhindi atatoa hiyo pesa ??