Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nimekwenda uwanjani na nimefurahi tumeingia robo fainali.
Lakini kiukwel bado naona kuna mapungufu katika timu yetu.
Leo tungecheza na wakubwa kama Al Ahly au Mamelod au Petro au Esperance mambo yangekuwa magumu.
Kwanini nasema hivi.
Timu bado inafanya sana makosa nyuma, makosa ya dhahiri kabisa, Inonga na Che Malone wanategeana sana, kama tungekutana na washambuliaji wenye njaa leo tungelaumiana.
Viungo Babacar Sarr na Ngoma hawaelewani, kila mmoja anamtegea mwenzake, Sarr ni mzito, piga back pass kila mara, hakabi vizuri, anachelewesha mipira bila sababu.Uchezaji wake unakaribisha sana mashambulizi katika timu na kuadhibiwa inakuwa rahisi.
Pa Omary Jobe na Fredddy ni wapuuzi sana, cjui nani alienda kula hela za Mo Dewji.Hivi kweli timu yenye kiu ya mafanikio inaweza kusajili hawa watu, hata Reliant Lusajo wa Mashujaa ana afadhali.
Hivi c bora tungebakia na Kagere tu tujue moja kuliko wasanii hawa.
Otherwise mnyama asipobadilika wale wanaomtegemea Mganga pale avic town wanakwenda semi final nawaambia.